Thursday 25th, April 2024
@Mtwara
Mradi wa PS3 uliozinduliwa April 22, 2017 Mkoa wa Mtwara utaendelea kwa awamu ya pili kwa kutoa mafunzo kwa waheshimiwa Wakuu wa Wilaya zote za Mkoa wa Mtwara, Waheshimiwa Wabunge, Meya, Wenyeviti wa Halmashauri, Waheshimiwa Madiwani wote, Makatibu Tawala wa Wilaya, Wakurugenzi wa Halmashauri, Wakuu wa Idara ya Utumishi, Mwandishi mmoja wa mikutano kutoka Halmsahauri na Waratibu wa Mradi wa PS3 kwa kila Halmashauri.
Mafunzo haya yatafanyika ukumbi wa NAF Apartment tarehe 29 na 30, Mei, 2017 kuanzia saa 2 asubuhi.
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Mtwara
Anuani ya Posta: 544, MTWARA
Simu: +255 23 2333014
Mobile: +255 23 2333014
Barua Pepe: ras@mtwara.go.tz
Haki Miliki © 2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Mtwara. Haki zote zimehifadhiwa.