• Wasiliana Nasi |
    • Maswali yaulizwayo mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Mtwara Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Mtwara

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
    • Idara
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Mipango na Uratibu
      • Rasilimali watu
      • Elimu
      • Miundo Mbinu
      • Maji
    • Kitengo
      • Huduma za Kisheria
      • TEHAMA
      • Ukaguzi wa ndani
      • Manunuzi
      • Fedha na `Uhasibu
  • Wilaya
    • Mtwara
    • Newala
    • Tandahimba
    • Masasi
    • Nanyumbu
  • Halmashauri
    • MtwaraMC
    • MtwaraDC
    • Tandahimba
    • NewalaDC
    • MasasiDC
    • MasasiTC
    • NanyumbuDC
    • Newalatc
    • NanyambaTC
  • Uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Afya
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Utaratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
    • Profile za Watumishi
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Tukio
  • Ijuwe Mtwara

Kongamano na Jukwa la Ushirika Mkoa wa Mtwara

Posted on: June 16th, 2021

Kongamano na Jukwa la Ushirika Mkoa wa Mtwara limeanza kufanyika  katika Viwanja na Ukumbi wa Shule ya SEKONDARI , Mtwara Sisters ( PARISH ). Mgeni Rasmi alitarajiwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Mheshimiwa Brigedia General Marco Elisha Gaguti ambaye aliwakilishwa na Mkuu wa Wilaya ya Mtwara Mhe.Dustan Kyobya. Kongamano hili litafanyika kwa muda wa  siku mbili kuanzia leo tarehe 16-17/06/2021 ambapo Naibu katibu mkuu Wizara ya Kilimo Prof. Siza Tumbo anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwa siku ya pili ya tarehe 17/06/2021.

Kongamano limewakutanisha Wakulima, wanachama na viongozi wa vyama vya Ushirika wote wa Mkoa wa Mtwara. Katika kongamano hilo kutakuwa na mafunzo mbalimbali ikiwemo namna Bora ya kuimarisha Ushirika, kuongeza uzalishaji, uongezaji wa thamani mazao, maonesho ya bidhaa na huduma za wanaushirika, mapambano dhidi ya Rushwa, mchango wa ushirika katika kuelekea Tanzania ya Viwanda n.k.

Aidha kongamano hili limehudhuriwa pia na Wakuu wa Wilaya, Wajumbe wa Kamati ya Usalama Mkoa, Makatibu Tawala Wilaya, Wenyeviti wa Halmashauri, Wakurugenzi, Maafisa Kilimo na  Ushirika,Viongozi wa Dini, Wakuu wa Taasisi na Wawakilishi wa Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi ( MoCU).

Matangazo

  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2024 January 23, 2025
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • RC SAWALA AAGIZA VYAMA VYA USHIRIKA KUSHUGHULIKIA CHANGAMOTO ZA WAKULIMA.

    June 24, 2025
  • MKURUGENZI MPYA NANYAMBA NA DAS MPYA MTWARA WATAKIWA KUSIMAMIA MIRADI YA MAENDELEO

    June 23, 2025
  • MASHIRIKA YASIYO YA KISERIKALI YATAKIWA KUPUNGUZA UTEGEMEZI KWA WAFADHILI.

    June 28, 2025
  • MAREKANI KUTUMIA BANDARI YA MTWARA KUSAFIRISHA BIDHAA

    June 30, 2025
  • Tazama Zote

Video

"MIRADI YA GESI KUNUFAISHA WAKAZI" MHE. DKT. DOTO BITEKO
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • IKULU
  • UTUMISHI
  • e-GA
  • MAOMBI YA KUCHOMA CHANJO YA UVIKO-19
  • SALARY SLIP
  • NBS
  • TAMISEMI

Kurasa Mashuhuri

  • TOVUTI KUU YA SERIKALI
  • WIZARA YA HABARI
  • TAMISEMI

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Eneo kwa Ramani

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Mtwara

    Anuani ya Posta: 544, MTWARA

    Simu: +255 23 2333014

    Mobile: +255 23 2333014

    Barua Pepe: ras@mtwara.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali yaulizwayo mara kwa mara
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Mtwara. Haki zote zimehifadhiwa.