• Wasiliana Nasi |
    • Maswali yaulizwayo mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Mtwara Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Mtwara

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
    • Idara
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Mipango na Uratibu
      • Rasilimali watu
      • Elimu
      • Miundo Mbinu
      • Maji
    • Kitengo
      • Huduma za Kisheria
      • TEHAMA
      • Ukaguzi wa ndani
      • Manunuzi
      • Fedha na `Uhasibu
  • Wilaya
    • Mtwara
    • Newala
    • Tandahimba
    • Masasi
    • Nanyumbu
  • Halmashauri
    • MtwaraMC
    • MtwaraDC
    • Tandahimba
    • NewalaDC
    • MasasiDC
    • MasasiTC
    • NanyumbuDC
    • Newalatc
    • NanyambaTC
  • Uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Afya
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Utaratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
    • Profile za Watumishi
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Tukio
  • Ijuwe Mtwara

Wawekezaji wapongeza Taasisi ya Utafiti (TARI) Naliendele

Posted on: July 14th, 2019

Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Mhe. Gelasius Byakanwa akielezea fursa ya uwekezaji kupitia bidhaa zitokanazo na zao la korosho (Mvinyo wa Mabibo) kwa wawekezaji kutoka mataifa mbalimbali walipotembelea Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Naliendele Julai 13, 2019.


Wageni kutoka mataifa mbalimbali waliotembelea Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Naliendele wamepongeza kituo hicho katika jitihada zake za kuongeza Thamani ya zao la korosho. Wageni hao ambao walihudhuria kongamano la kimataifa la Uwekezaji katika sekta ya korosho wamesema uwepo wa Taasisi hiyo umeongeza mvuto kwa wekezaji hasa kutokana na utafiti wake ambao umezalisha bidhaa nyingi ikiwemo maziwa ya korosho.

akizungumza wakati wa tukio hilo Mkurugenzi wa kampuni ya Denia Holiday kutoka Morrocco,  Mustapha Laraqvi amesema maziwa ya korosho yanayozalishwa ambayo pia yamefanyiwa utafiti kituoni hapo yanathamni kubwa na yanasaidia sana katika uchumi wa mataifa ya nje ikiwemo Marekani.

Anasema Tanzania wakiamua kujipanga sawaswa zao la korosho linaweza kusadia kwa kiasi kikubwa kukua kwa uchumi wa nchi.

Kutazama Video Bonyeza HAPA

Matangazo

  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2024 January 23, 2025
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • RC SAWALA AAGIZA VYAMA VYA USHIRIKA KUSHUGHULIKIA CHANGAMOTO ZA WAKULIMA.

    June 24, 2025
  • MKURUGENZI MPYA NANYAMBA NA DAS MPYA MTWARA WATAKIWA KUSIMAMIA MIRADI YA MAENDELEO

    June 23, 2025
  • MASHIRIKA YASIYO YA KISERIKALI YATAKIWA KUPUNGUZA UTEGEMEZI KWA WAFADHILI.

    June 28, 2025
  • MAREKANI KUTUMIA BANDARI YA MTWARA KUSAFIRISHA BIDHAA

    June 30, 2025
  • Tazama Zote

Video

"MIRADI YA GESI KUNUFAISHA WAKAZI" MHE. DKT. DOTO BITEKO
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • IKULU
  • UTUMISHI
  • e-GA
  • MAOMBI YA KUCHOMA CHANJO YA UVIKO-19
  • SALARY SLIP
  • NBS
  • TAMISEMI

Kurasa Mashuhuri

  • TOVUTI KUU YA SERIKALI
  • WIZARA YA HABARI
  • TAMISEMI

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Eneo kwa Ramani

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Mtwara

    Anuani ya Posta: 544, MTWARA

    Simu: +255 23 2333014

    Mobile: +255 23 2333014

    Barua Pepe: ras@mtwara.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali yaulizwayo mara kwa mara
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Mtwara. Haki zote zimehifadhiwa.