Posted on: May 27th, 2025
Benki ya CRDB Kanda ya Kusini imetoa msaada wa Sare za Michezo ‘Tracksuits’ Jozi 120 kwa timu ya UMISSETA ya Mkoa wa Mtwara kwaajili ya Maandalizi ya Mashindano ya UMISSETA Taifa yanayotarajiwa kuanza...
Posted on: May 31st, 2025
Wakazi wa mkoa wa Mtwara wakiongozwa na Mkuu wa Wilaya ya Mtwara, Mhe. Abdallah Mwaipaya kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa leo tarehe 31 Mei 2025 wamepanda miti ya mikoko 6,000 pamoja na kufanya usafi wa mazi...
Posted on: May 30th, 2025
Katibu Tawala Mkoa wa Mtwara, CPA. Bahati Geuzye mapema leo tarehe 30 Mei 2025 ameongoza kikao cha kamati ya lishe Mkoa kilichojadili hali ya utekelezaji wa Afua Jumuishi za Lishe kutoka Idara na Taas...