Kiwanda cha Saruji cha Dangote kilichoko kilichoko eneo la Msijute ndani ya halmashauri ya Wilaya ya Mtwara ni moja ya uwekezaji mkubwa wa viwanda hapa nchini. Kiwanda hiki kilianza kazi Desemba 2015 na ndicho kiwanda cha saruji kikubwa kuliko vyote Tanzania. Hadi sasa kiwanda hiki kinazalisha saruji ya kiwango cha daraja la 32.5 na 42.5 ambayo inatumika hapa nchini na kusafirishwa nje ya nchi. Mmiliki wa kiwanda hiki ni Raia wa Nigeria Alhaj Aliko Dangote. Maelezo zaidi Bonyeza HAPA
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Mtwara
Anuani ya Posta: 544, MTWARA
Simu: +255 23 2333014
Mobile: +255 23 2333014
Barua Pepe: ras@mtwara.go.tz
Haki Miliki © 2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Mtwara. Haki zote zimehifadhiwa.