Thursday 26th, December 2024
@Mtwara
Kuelekea kuazimisha miaka 60 ya uhuru wananchi mkoani Mtwara wanaendelea na maonyesho ya Wajasiliamali na huduma za Taasisi mbalimbali za UMMA na Binafsi kwenye uwanja wa Mashujaa Park ulioko Mtwara Mjini, Ufunguzi wa maonyesho hayo umefanywa na Mhe. Brig Jenerali Marco Gaguti Mkuu wa Mkoa wa Mtwara.
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Mtwara
Anuani ya Posta: 544, MTWARA
Simu: +255 23 2333014
Mobile: +255 23 2333014
Barua Pepe: ras@mtwara.go.tz
Haki Miliki © 2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Mtwara. Haki zote zimehifadhiwa.