Friday 27th, December 2024
@MTWARA
Mkoa kwa kushirikiana na TASAC inandaaa Maadhimisho ya Siku ya Mabaharia Duniani Kitaifa ambayo yatafanyika Mkoani Mtwara kuanzia tarehe 23-25 Juni 2021 katika viwanja vya Mashujaa Park. Wageni rasmi waliopendekezwa ni Waheshimiwa Mawaziri Wizara ya Ujenzi, Mawasiliano na Usafirishaji (SMZ) kwa siku ya ufunguzi na Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi (SMT) kwa siku ya kilele tarehe 25 Juni 2021. Kazi Iendelee
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Mtwara
Anuani ya Posta: 544, MTWARA
Simu: +255 23 2333014
Mobile: +255 23 2333014
Barua Pepe: ras@mtwara.go.tz
Haki Miliki © 2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Mtwara. Haki zote zimehifadhiwa.