Thursday 26th, December 2024
@Mtwara
Mbio za Mwenge wa Uhuru Mkoani Mtwara zitaanza Juni 11-19/2018 mkoani Mtwara. Mwenge utapokelewa ukitokea Ruvuma na kukimbizwa kwa Halmashauri zote 9 za mkoa wa Mtwara kabla ya kukabidhiwa Mkoani Lindi hapo tarehe 20/06/2018
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Mtwara
Anuani ya Posta: 544, MTWARA
Simu: +255 23 2333014
Mobile: +255 23 2333014
Barua Pepe: ras@mtwara.go.tz
Haki Miliki © 2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Mtwara. Haki zote zimehifadhiwa.