Thursday 26th, December 2024
@Ngongo Lindi
Maonesho ya siku ya wakulima maarufu kama Nanenane kanda ya Kusini yataadhimishwa katika viwanja vya Ngongo mjini Lindi kuanzia tarehe 1-08/08/2018. taratibu za kumpata mgeni rasmi zinaendelea. Watanzania wote mnakaribishwa.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akikagua bidhaa katika moja ya mabanda wakati wa kilele cha maadhimisho ya sikuu ya wakulima mwaka 2018 katika viwanja vya Ngongo Lindi.
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Mtwara
Anuani ya Posta: 544, MTWARA
Simu: +255 23 2333014
Mobile: +255 23 2333014
Barua Pepe: ras@mtwara.go.tz
Haki Miliki © 2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Mtwara. Haki zote zimehifadhiwa.