Friday 27th, December 2024
@Mkoani Mtwara
Mashindano ya Umitashumta na Umiseta, yatazinduliwa rasmi na Mhe. Waziri Mkuu kwenye uwanja wa Nangwanda Mtwara, tarehe 8/6/2021. Mkoa unatoa fursa kwa taasisi za umma na binafsi, kuweka mabango ya matangazo kwenye uwanja huo, mnakaribishwa kufanya hivyo! Kwa maelezo zaidi, tafadhali wasiliana na Fatuma Mtanda,+255 782 028 187. Kazi iendelee...
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Mtwara
Anuani ya Posta: 544, MTWARA
Simu: +255 23 2333014
Mobile: +255 23 2333014
Barua Pepe: ras@mtwara.go.tz
Haki Miliki © 2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Mtwara. Haki zote zimehifadhiwa.