Thursday 26th, December 2024
@
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa TanzaniaMhe. Dkt Philip Isdor Mpango ana ziara ya kikazi, tarehe 24 Julai 2021 atashiriki Misa Takatifu ili kuhitimisha msiba wa hayati Rais mstaafu wa awamu ya tatu, Benjamini W. Mkapa kijijini Lupaso. Na tarehe 25-26 Julai 2021 Mheshimiwa makamu wa Rais atakuwa na ziara ya kikazi Mkoani.
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Mtwara
Anuani ya Posta: 544, MTWARA
Simu: +255 23 2333014
Mobile: +255 23 2333014
Barua Pepe: ras@mtwara.go.tz
Haki Miliki © 2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Mtwara. Haki zote zimehifadhiwa.