Dira ya Mkoa,
Mkoa wa Mtwara kuwa kitovu cha Uchumi na Biashara katika ukanda wa kusini mwa Tanzania ifikapo 2025/26-2029/30.
Mwelekeo.
Kutoa ushauri wa kiutaalam na wenye tija kwa mamlaka za Serikali za Mitaa na wadau wengine kuhusu maendeleo ya kijamii, kiuchumi na Utawala Bora katika Mkoa.
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Mtwara
Anuani ya Posta: 544, MTWARA
Simu: +255 23 2333014
Mobile: +255 23 2333014
Barua Pepe: ras@mtwara.go.tz
Haki Miliki © 2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Mtwara. Haki zote zimehifadhiwa.