Mkutano Mkuu wa wadau wa Korosho, umeipitisha Bei Elekezi/Bei Dira yakorosho kuwa Tsh.1550 (Daraja la Kwanza) na Tsh1240 (Daraja la 2). Aidha mkutanohuo uliofanyika jana katika Ukumbi wa Tawi la Benki Kuu Mtwara umekubalianamjengeko wa Bei kuwa ni Tsh 1696 (Daraja la kwanza) na Tsh 1386 (Daraja lapili).
Maelezo zaidi Bonyeza HAPA
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Mtwara
Anuani ya Posta: 544, MTWARA
Simu: +255 23 2333014
Mobile: +255 23 2333014
Barua Pepe: ras@mtwara.go.tz
Haki Miliki © 2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Mtwara. Haki zote zimehifadhiwa.