• Wasiliana Nasi |
    • Maswali yaulizwayo mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Mtwara Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Mtwara

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
    • Idara
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Mipango na Uratibu
      • Rasilimali watu
      • Elimu
      • Miundo Mbinu
      • Maji
    • Kitengo
      • Huduma za Kisheria
      • TEHAMA
      • Ukaguzi wa ndani
      • Manunuzi
      • Fedha na `Uhasibu
  • Wilaya
    • Mtwara
    • Newala
    • Tandahimba
    • Masasi
    • Nanyumbu
  • Halmashauri
    • MtwaraMC
    • MtwaraDC
    • Tandahimba
    • NewalaDC
    • MasasiDC
    • MasasiTC
    • NanyumbuDC
    • Newalatc
    • NanyambaTC
  • Uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Afya
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Utaratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
    • Profile za Watumishi
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Tukio
  • Ijuwe Mtwara

DC Newala Akabidhi Vifaa Vya Ujenzi kwa Shule za Msingi na Secondari

Posted on: November 28th, 2019

Mkuu wa wilaya ya Newala Mhe. Aziza Mangosongo amekabidhi vifaa vya Ujenzi wa vyoo kwa shule za msingi na sekondari wilayani Newala. vifaa hivyo vimepatikana kupitia kampeni ya ‘Shule ni Choo’ iliyoanzishwa na Mkuu wa Mkoa huo Mhe. Gelasius Byakanwa ikiwa na lengo la kuhakikisha mkoa unaondokana na changamoto ya matundu ya vyoo.

Akizungumza wakati wa kugawa vifaa hivyo Mheshimiwa Mangosongo amewashukuru Wadau wote waliofanikisha zoezi hilo. Ametoa pongezi maalum kwa Mkuu wa Mkoa huo Mhe. Gelasius Byakanwa kwa kuwa mbunifu na kuja na kampeni hiyo.

Amewataka Wenyeviti wa Bodi za Shule, Waratibu Elimu, Wakuu wa Shule na Walimu Wakuu na Watendaji wa Kata kuendelea kusimamia Ujenzi wa Vyoo hivyo ili ndani ya wiki moja awamu ya kwanza ya ujenzi iwe imekamilika.

vifaa vilivyotolewa ni pamoja na  Saruji mifuko 320,Nondo 20,Mabomba 20,Masinki ya vyoo ,Ndoo mbao na Makopo ya Rangi

Matangazo

  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2024 January 23, 2025
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • MWENGE WA UHURU KARIBU MTWARA

    May 17, 2025
  • JESHI LA POLISI TANZANIA YATUPIA JICHO MIUNDOMBINU YA GESI ASILIA MTWARA

    May 20, 2025
  • MWENGE WA UHURU MASASI

    May 18, 2025
  • NANYUMBU WAANZISHA BIO ZA MWENGE MTWARA

    May 17, 2025
  • Tazama Zote

Video

"MIRADI YA GESI KUNUFAISHA WAKAZI" MHE. DKT. DOTO BITEKO
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • IKULU
  • UTUMISHI
  • e-GA
  • MAOMBI YA KUCHOMA CHANJO YA UVIKO-19
  • SALARY SLIP
  • NBS
  • TAMISEMI

Kurasa Mashuhuri

  • TOVUTI KUU YA SERIKALI
  • WIZARA YA HABARI
  • TAMISEMI

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Eneo kwa Ramani

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Mtwara

    Anuani ya Posta: 544, MTWARA

    Simu: +255 23 2333014

    Mobile: +255 23 2333014

    Barua Pepe: ras@mtwara.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali yaulizwayo mara kwa mara
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Mtwara. Haki zote zimehifadhiwa.