Na, Evaristy Masuha
Vita ya majimaji ilianza Julai 1905 na kumalizika Januari 1907. Pigano la kwanza lilianzia mkoani Lindi katika kijiji cha Nandete wilayani Kilwa likiongozwa na Mzee wa kimatumbi aliyejulikana kwa jina la Kinjekitile Ngwale.
Pigano la mwisho lilifanyika katika kijiji cha Lumesule kilichoko wilayani Nanyumbu mkoa wa Mtwara likiongozwa na kiongozi wa wangindo, Abdallah Mapanda. Kupata maelezo zaidi Bonyeza HAPA
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Mtwara
Anuani ya Posta: 544, MTWARA
Simu: +255 23 2333014
Mobile: +255 23 2333014
Barua Pepe: ras@mtwara.go.tz
Haki Miliki © 2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Mtwara. Haki zote zimehifadhiwa.