Kamati ya Ulinzi na Usalama Mkoa wa Mtwara ikiongozwa na Mkuu wa Mkoa Kanali Ahmed Abbas Ahmed Imempongeza kamanda wa Polisi Mkoa (RPC) Nicodemus S. Katembo kwa kupandishwa cheo na kuwa Kamishina Msaidizi Mwandamizi wa Polisi. (SACP).
Februari 23, 2024.
#TunaifunguaMtwara
#KaziIendelee.
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Mtwara
Anuani ya Posta: 544, MTWARA
Simu: +255 23 2333014
Mobile: +255 23 2333014
Barua Pepe: ras@mtwara.go.tz
Haki Miliki © 2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Mtwara. Haki zote zimehifadhiwa.