Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Kanali Patrick Kenan Sawala, Aungana na Mamia ya wana Mtwara pamoja na viongozi Mbalimbali katika kuupokea Mwenge wa Uhuru Mkoani Mtwara Katika Kijiji cha Mpapura.
Mwenge wa Uhuru utazunguka katika Halmashuri zote 9 za Mkoa wa Mtwara.
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Mtwara
Anuani ya Posta: 544, MTWARA
Simu: +255 23 2333014
Mobile: +255 23 2333014
Barua Pepe: ras@mtwara.go.tz
Haki Miliki © 2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Mtwara. Haki zote zimehifadhiwa.