• Wasiliana Nasi |
    • Maswali yaulizwayo mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Mtwara Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Mtwara

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
    • Idara
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Mipango na Uratibu
      • Rasilimali watu
      • Elimu
      • Miundo Mbinu
      • Maji
    • Kitengo
      • Huduma za Kisheria
      • TEHAMA
      • Ukaguzi wa ndani
      • Manunuzi
      • Fedha na `Uhasibu
  • Wilaya
    • Mtwara
    • Newala
    • Tandahimba
    • Masasi
    • Nanyumbu
  • Halmashauri
    • MtwaraMC
    • MtwaraDC
    • Tandahimba
    • NewalaDC
    • MasasiDC
    • MasasiTC
    • NanyumbuDC
    • Newalatc
    • NanyambaTC
  • Uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Afya
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Utaratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
    • Profile za Watumishi
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Tukio
  • Ijuwe Mtwara

Karibu Mhe. Byakanwa Kwa Heri Mhe. Dendego

Posted on: October 27th, 2017

Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Mhe. Gelasius Gasper Byakanwa,


Jana Oktoba, 26 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amefanya mabadiliko katika safu ya Makatibu Wakuu, Naibu Makatibu Wakuu na Wakuu wa Mikoa kwa kuteua, kupandisha vyeo na kuhamisha vituo vya kazi.

Taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi Ikulu Jijini Dar es Salaam jana imeeleza kuwa Mhe. Rais Magufuli amemteua aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai Mhe. Gelasius Gasper Byakanwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, nafasi ambayo ilikuwa ikishikiliwa na Mhe. Halima Dendego.

Vilevile Mheshimiwa Magufuli amemteua aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Nanyumbu Mheshimiwa Joackim Wangabo kuwa Mkuu wa Mkoa wa Rukwa.

Akizunugmzia mabadiliko hayo, Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Mheshimiwa Halima Dendego ameandika kwa kifupi kwenye mtandao wa Whatsap unaowahusisha viongozi wa Mamlaka za Serikali za Mitaa mkoani Mtwara (LGA Leaders); 

Ninayo furaha kuona ninaondoka ukiwa salama na nimezalisha RC Mwingine. Hongera sana kaka yangu Wangago Mungu akusimamie. Wadau muendelee kuchapa kazi kwa mwendo uleule Mtwara inazidi kung’aa.

Nitazidi kuwaombea na ninawashukuru kwa ushirikiano mulionipa.

Kwa upande wake Afisa Habari Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Evaristy Masuha anasema Mkoa umepokea mabadiliko hayo kwa mikono miwili. Wanaamini mabadiliko haya, bado yana nafasi kubwa kwa Mheshimiwa Dendego kuendelea kulitumikia taifa hili kwa nafasi nyingine. Pia ni nafasi nzuri kwa Mheshimiwa Byakanwa kuendelea kuonesha uwezo wake mkubwa aliouonesha katika kusukuma maendeleo ya wananchi akiwa Wilayani Hai

KARIBU SANA MHESHIMIWA BYAKANWA. KWA HERI MHESHIMIWA DENDEGO.

Matangazo

  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2024 January 23, 2025
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • MTWARA KUPELEKA TIMU UMITASHUMTA 2025

    June 03, 2025
  • TAASISI YA SPORT DEVELOPMENT AID IMETOA VIFAA VYA MICHEZO KWA WANAFUNZI

    June 02, 2025
  • UNICEF KUSAIDIA WATOTO MTWARA

    June 02, 2025
  • MSIMU WA 3 WA MADAKTARI WA SAMIA; MTWARA YAPOKEA MADAKTARI BINGWA 63

    June 02, 2025
  • Tazama Zote

Video

"MIRADI YA GESI KUNUFAISHA WAKAZI" MHE. DKT. DOTO BITEKO
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • IKULU
  • UTUMISHI
  • e-GA
  • MAOMBI YA KUCHOMA CHANJO YA UVIKO-19
  • SALARY SLIP
  • NBS
  • TAMISEMI

Kurasa Mashuhuri

  • TOVUTI KUU YA SERIKALI
  • WIZARA YA HABARI
  • TAMISEMI

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Eneo kwa Ramani

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Mtwara

    Anuani ya Posta: 544, MTWARA

    Simu: +255 23 2333014

    Mobile: +255 23 2333014

    Barua Pepe: ras@mtwara.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali yaulizwayo mara kwa mara
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Mtwara. Haki zote zimehifadhiwa.