• Wasiliana Nasi |
    • Maswali yaulizwayo mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Mtwara Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Mtwara

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
    • Idara
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Mipango na Uratibu
      • Rasilimali watu
      • Elimu
      • Miundo Mbinu
      • Maji
    • Kitengo
      • Huduma za Kisheria
      • TEHAMA
      • Ukaguzi wa ndani
      • Manunuzi
      • Fedha na `Uhasibu
  • Wilaya
    • Mtwara
    • Newala
    • Tandahimba
    • Masasi
    • Nanyumbu
  • Halmashauri
    • MtwaraMC
    • MtwaraDC
    • Tandahimba
    • NewalaDC
    • MasasiDC
    • MasasiTC
    • NanyumbuDC
    • Newalatc
    • NanyambaTC
  • Uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Afya
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Utaratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
    • Profile za Watumishi
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Tukio
  • Ijuwe Mtwara

KIKAO CHA MKUU WA MKOA NA KAMATI ZA MENEJIMENTI ZA MKOA NA HALMASHAURI

Posted on: February 12th, 2024

Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Kanali Ahmed Abbas Ahmed Mapema leo hii ameitisha kikao na Wakurugenzi, Maafisa Mipango, Watunza hazina na Maafisa Maendeleo ya jamii katika Ukumbi wa Boma na kufanya Mazungumzo nao.

Aidha Kanali Abbas ameweka msisitizo katika maeneo yafuatayo:

  • Kuwa na vipaumbele vyenye msingi unaoleta tija kwa maslai ya Wananchi tu yaani vipaumbele vinavyokwenda kujibu hoja za Wananchi.
  • Vipaumbele vyenu ni lazima vitatuwe matatizo yaliyo katika maeneo yenu ili kutimiza hazma ya serikali ya kuwaletea Maendeleo
  • Kubuni vyanzo vipya vitakavyo ongeza mapato ya Halmashauri zenu na kuzuia mianya yote ya uvujaji wa mapato hayo na kuweka muelekeo (Dira) bora katika ukusanyaji hili kufikia malengo, hivyo kuzipa uwezo wa kifedha na kuziwezesha kutatua kero mbalimbali za Wananchi.
  • Kuhakikisha kunakuwa na matumizi sahihi ya mashine za  POS (Point of sales) na kuhakikisha makusanyo yote yanapelekwa benki kwa wakati hii itasaidia sana kupunguza upotevu na matumizi holela ya mapato bila kufuata utaratibu.
  • Aidha ninazo taarifa za baadhi ya Watumishi wasio waaminifu kuhujumu mapato ya serikali kwa kuzima mashine za kukusanya mapato kwa muda, kurudisha tarehe nyuma hili kutoa risiti za tarehe ya nyuma  na mengine mengi kama hayo, natoa wito kwenu kama bado kuna watumishi wa aina hii waache mara moja kwani kufanya hivi ni kukwamisha dhamira nzuri ya serikali ya kuwaletea wananchi maendeleo.
  • Kuhakikisha fedha zinazokusanywa zinagawanywa kulingana na asilimia ilizopangiwa Halmashauri husika kwa ajili ya Miradi ya Maendeleo na matumizi ya kawaida.
  • Aidha ni lazima kuhakikisha fedha zote za maendeleo zinapelekwa kwenye miradi kama ilivyopangwa hili kuweza kutatua changamoto zinazowakabili wananchi.
  • Kuhakikisha fedha zote za miradi zinazoletwa  kutoka serikali kuu kupitia programu mbalimbali zinakamilisha miradi husika bila kuongeza fedha nyingine, kwani uzoefu unaonyesha miradi inayogharamiwa na fedha za mapato ya ndani ukamilika bila kuongeza fedha Zaidi tofauti na hile ya serikali kuu.
  • Jambo hili halikubaliki na naagiza kuanzia sasa fedha zinazoletwa zikamilishe miradi husika bila kuongezwa.
  • Halmashauri zihakikishe zinatenga na kutoa fedha asilimia 10 ya mapato ya ndani kwa ajili ya Makundi maalumu (Wanawake, Vijana na Walemavu). Fedha hizi zitunzwe na kusubiri maelekezo ya serikali na siyo vinginevyo

Februari 12, 2024,

#TunaifunguaMtwara

#KaziIendelee

Matangazo

  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2024 January 23, 2025
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • RC SAWALA "ACHENI KUFANYA KAZI KWA MAZOEA"

    June 21, 2025
  • MTWARA MWENYEJI WA MAFUNZO YA KOROSHO BARA LA AFRIKA.

    June 23, 2025
  • NHIF YAFANYA MAZUMGUMZO NA RC SAWALA

    June 23, 2025
  • RC SAWALA AAGIZA VYAMA VYA USHIRIKA KUSHUGHULIKIA CHANGAMOTO ZA WAKULIMA

    June 24, 2025
  • Tazama Zote

Video

"MIRADI YA GESI KUNUFAISHA WAKAZI" MHE. DKT. DOTO BITEKO
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • IKULU
  • UTUMISHI
  • e-GA
  • MAOMBI YA KUCHOMA CHANJO YA UVIKO-19
  • SALARY SLIP
  • NBS
  • TAMISEMI

Kurasa Mashuhuri

  • TOVUTI KUU YA SERIKALI
  • WIZARA YA HABARI
  • TAMISEMI

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Eneo kwa Ramani

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Mtwara

    Anuani ya Posta: 544, MTWARA

    Simu: +255 23 2333014

    Mobile: +255 23 2333014

    Barua Pepe: ras@mtwara.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali yaulizwayo mara kwa mara
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Mtwara. Haki zote zimehifadhiwa.