Waziri wa Kilimo Dkt. Charles Tizeba amepokea ripoti ya uchunguzi wa sakata la korosho za Tanzania kukutwa na mawe na uchafu mwingine nchini Vietnam na kumuagiza Katibu Mkuu wa wizara hiyo kwa kushiriana na vyombo vya dola kuwakamata na kuwahoji Maafisa wa Taasisi zote zilizohusika katika mchakato wa usafirishaji magunia ya korosho kwenda nchini Vietnam Maelezo zaidi Bonyeza HAPA
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Mtwara
Anuani ya Posta: 544, MTWARA
Simu: +255 23 2333014
Mobile: +255 23 2333014
Barua Pepe: ras@mtwara.go.tz
Haki Miliki © 2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Mtwara. Haki zote zimehifadhiwa.