• Wasiliana Nasi |
    • Maswali yaulizwayo mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Mtwara Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Mtwara

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
    • Idara
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Mipango na Uratibu
      • Rasilimali watu
      • Elimu
      • Miundo Mbinu
      • Maji
    • Kitengo
      • Huduma za Kisheria
      • TEHAMA
      • Ukaguzi wa ndani
      • Manunuzi
      • Fedha na `Uhasibu
  • Wilaya
    • Mtwara
    • Newala
    • Tandahimba
    • Masasi
    • Nanyumbu
  • Halmashauri
    • MtwaraMC
    • MtwaraDC
    • Tandahimba
    • NewalaDC
    • MasasiDC
    • MasasiTC
    • NanyumbuDC
    • Newalatc
    • NanyambaTC
  • Uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Afya
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Utaratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
    • Profile za Watumishi
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Tukio
  • Ijuwe Mtwara

Majeshi yatakiwa kuwa na Ushirikiano.

Posted on: August 31st, 2017

Majeshi yote nchini yametakiwa kuwa na umoja, ushirikiano na mshikamano ili kutimiza majukumu yao. Hayo yamesemwa leo na Brigedia Jenerali George Msongole wa Brigedi ya Kusini wakati wa maazimisho ya miaka 53 tangu kuanzishwa kwa jenshi la wananchi wa Tanzania (JWTZ) yaliyofanyika uwanja wa Mashujaa mjini Mtwara. Amesema lengo la kuanzishwa kwa majeshi yote ni kutoa huduma kwa wananchi wa Tanzania hivyo mshikamano ni jambo la muhimu.

Akizungumzia Jeshi la Wananchi wa Tanzania amesema Jeshi hilo kama linavyojulikana ni jeshi ambalo limetokana na watanzania wenyewe hivyo linapaswa kuenzi malengo ya waasisi ambayo ni pamoja na uzalendo.

Katika maazimisho hayo yaliyojumuisha majeshi mbalimbali ya hapa nchini Msongole amesema historia ya jeshi la Wananchi wa Tanzania ilianzia tangu likiitwa King African Rifle ambalo lilianzishwa na Mkoloni kwa lengo la kulinda maslahi ya mkoloni kisha kubadilishwa kuwa Tanganyika Rifle na hatimaye Jeshi la Wananchi wa Tanzania lililoanzishwa Septemba 1, 1964.

 Msongole amesema majeshi yote yanapaswa kutambua kuwa malengo yao ni ustawi wa taifa na hivyo kuacha tofauti zao na kuwa kitu kimoja.

Kwa upande wake Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Mheshimiwa Halima Dendego amelishukuru Jenshi la Wananchi wa Tanzania na majeshi yote kwa ushirikiano wao katika kufanikisha shughuli hiyo. Amesema yako mengi yaliyofanywa na Majeshi hapa Mtwara ambayo yanabaki kama kumbukumbu kwa taifa. Ametaja baadhi ya mambo hayo kuwa ni pamoja na ujenzi wa miundombinu ya usalama wa kituo cha kuzalisha Umeme eneo la Pwani ya Mnazi mara baada ya mafuliko ya bahari yaliyotishia usalma wake mwanzoni mwa mwaka 2015.

Sherehe hizi zilitanguliwa na maandamano ya kilometa 10 ambapo raia waliungana na wanajeshi katika matembezi hayo kisha kuendesha zoezi la Upimaji wa Virusi vya Ukimwi na uchangiaji damu kwa hiari.


Video ya tukio hil HAPA

Matangazo

  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2024 January 23, 2025
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • MWENGE WA UHURU KARIBU MTWARA

    May 17, 2025
  • JESHI LA POLISI TANZANIA YATUPIA JICHO MIUNDOMBINU YA GESI ASILIA MTWARA

    May 20, 2025
  • MWENGE WA UHURU MASASI

    May 18, 2025
  • NANYUMBU WAANZISHA BIO ZA MWENGE MTWARA

    May 17, 2025
  • Tazama Zote

Video

"MIRADI YA GESI KUNUFAISHA WAKAZI" MHE. DKT. DOTO BITEKO
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • IKULU
  • UTUMISHI
  • e-GA
  • MAOMBI YA KUCHOMA CHANJO YA UVIKO-19
  • SALARY SLIP
  • NBS
  • TAMISEMI

Kurasa Mashuhuri

  • TOVUTI KUU YA SERIKALI
  • WIZARA YA HABARI
  • TAMISEMI

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Eneo kwa Ramani

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Mtwara

    Anuani ya Posta: 544, MTWARA

    Simu: +255 23 2333014

    Mobile: +255 23 2333014

    Barua Pepe: ras@mtwara.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali yaulizwayo mara kwa mara
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Mtwara. Haki zote zimehifadhiwa.