• Wasiliana Nasi |
    • Maswali yaulizwayo mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Mtwara Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Mtwara

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
    • Idara
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Mipango na Uratibu
      • Rasilimali watu
      • Elimu
      • Miundo Mbinu
      • Maji
    • Kitengo
      • Huduma za Kisheria
      • TEHAMA
      • Ukaguzi wa ndani
      • Manunuzi
      • Fedha na `Uhasibu
  • Wilaya
    • Mtwara
    • Newala
    • Tandahimba
    • Masasi
    • Nanyumbu
  • Halmashauri
    • MtwaraMC
    • MtwaraDC
    • Tandahimba
    • NewalaDC
    • MasasiDC
    • MasasiTC
    • NanyumbuDC
    • Newalatc
    • NanyambaTC
  • Uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Afya
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Utaratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
    • Profile za Watumishi
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Tukio
  • Ijuwe Mtwara

Makabidhiano kati ya Mkuu wa mkoa mpya wa Mtwara Brigedia Jenerali Marco Gaguti na aliyekuwa Mkuu wa Mkoa Gelasius Gaspar Byakanwa

Posted on: May 20th, 2021

Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Gelasius Gasper Byakanwa (Kulia) katika picha akimkabidhi Ofisi Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Brigedia Jenerali Marco Gaguti Mei 20, 2021 katika Ukumbi wa Boma Mkoa.

Mkuu wa mkoa wa Mtwara Brigedia Jenerali Marco Gaguti amewaomba wananchi wa Mtwara kumpa ushirikiano zaidi ya ule alioupata aliyekuwa mkuu wa mkoa huu Ndugu Gelasius Byakanwa.

Amesema hayo 20 Mei 2021 katika ukumbi wa Boma uliopo katika ofisi ya mkuu wa mkoa wa Mtwara mbele ya watumishi mbalimbali wa serikali wa mkoa huu pamoja na waandishi wa habari.

Kwa upande wake aliyekuwa mkuu wa mkoa huu Ndugu Gelasius Byakanwa, amempongeza mkuu wa mkoa huyo mpya kwa kuteuliwa tena huku akimuomba kulisimamia swala la zao la korosho pamoja na rasilimali za Gesi na Mafuta.

Hata hivyo Mkuu wa wilaya ya Newala Bi Aziza Mangosongo akiwawakilisha wakuu wa wilaya wenzake, amesema watampa ushirikiano Bregedia Gaguti ili kuhakikisha Mtwara inazidi kusonga mbele kimaendeleo.

Matangazo

  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2024 January 23, 2025
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • RC SAWALA AAGIZA VYAMA VYA USHIRIKA KUSHUGHULIKIA CHANGAMOTO ZA WAKULIMA.

    June 24, 2025
  • MKURUGENZI MPYA NANYAMBA NA DAS MPYA MTWARA WATAKIWA KUSIMAMIA MIRADI YA MAENDELEO

    June 23, 2025
  • MASHIRIKA YASIYO YA KISERIKALI YATAKIWA KUPUNGUZA UTEGEMEZI KWA WAFADHILI.

    June 28, 2025
  • MAREKANI KUTUMIA BANDARI YA MTWARA KUSAFIRISHA BIDHAA

    June 30, 2025
  • Tazama Zote

Video

"MIRADI YA GESI KUNUFAISHA WAKAZI" MHE. DKT. DOTO BITEKO
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • IKULU
  • UTUMISHI
  • e-GA
  • MAOMBI YA KUCHOMA CHANJO YA UVIKO-19
  • SALARY SLIP
  • NBS
  • TAMISEMI

Kurasa Mashuhuri

  • TOVUTI KUU YA SERIKALI
  • WIZARA YA HABARI
  • TAMISEMI

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Eneo kwa Ramani

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Mtwara

    Anuani ya Posta: 544, MTWARA

    Simu: +255 23 2333014

    Mobile: +255 23 2333014

    Barua Pepe: ras@mtwara.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali yaulizwayo mara kwa mara
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Mtwara. Haki zote zimehifadhiwa.