• Wasiliana Nasi |
    • Maswali yaulizwayo mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Mtwara Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Mtwara

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
    • Idara
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Mipango na Uratibu
      • Rasilimali watu
      • Elimu
      • Miundo Mbinu
      • Maji
    • Kitengo
      • Huduma za Kisheria
      • TEHAMA
      • Ukaguzi wa ndani
      • Manunuzi
      • Fedha na `Uhasibu
  • Wilaya
    • Mtwara
    • Newala
    • Tandahimba
    • Masasi
    • Nanyumbu
  • Halmashauri
    • MtwaraMC
    • MtwaraDC
    • Tandahimba
    • NewalaDC
    • MasasiDC
    • MasasiTC
    • NanyumbuDC
    • Newalatc
    • NanyambaTC
  • Uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Afya
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Utaratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
    • Profile za Watumishi
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Tukio
  • Ijuwe Mtwara

MATEMBEZI MTAA KWA MTAA; TUJIANDIKISHE TUSHIRIKI UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA

Posted on: October 14th, 2024

Mamia ya wananchi wa Mkoa wa Mtwara wakiongozwa na Mkuu wa Mkoa, Mhe. Kanali Patrick Sawala leo tarehe 14 Oktoba 2024 wamejitokeza katika matembezi yaliyojumuisha bodaboda, bajaji na watembea kwa miguu kwa lengo la kuhamasisha Uandikishaji wa wapiga kura kwaajili ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024.Katika matembezi hayo yaliyoanzia Ofisi ya Mkuu wa Mkoa na kumalizika viwanja vya Nangwanda-Sijaona, Kanali Sawala amesisitiza wananchi wenye sifa kujitokeza kujiandikisha ili waweze kuchagua viongozi wa serikali za mitaa watakaowaongoza kwa miaka mitano ijayo.

Aidha Kanali Sawala amewataka wananchi wote wenye sifa za uongozi waweze kuchukua formu na kugombea nafasi mbalimbali huku akisisitiza kutunza amani wakati wote.“Ndugu zangu kuna maisha baada ya Uchaguzi; Sisi ndio tunaoishi Mtwara kwahiyo hapa ndio nyumbani kwetu, hivyo tusikubali mtu au kikundi cha watu kwa namna yoyote kituvurugie amani tuliyonayo.” Alieleza Kanali SawalaZoezi la Uandikishaji wapiga kura lilianza tarehe 11 Oktoba na litahitimishwa tarehe 20 Oktoba 2024.

Matangazo

  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2024 January 23, 2025
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • RC SAWALA AAGIZA VYAMA VYA USHIRIKA KUSHUGHULIKIA CHANGAMOTO ZA WAKULIMA.

    June 24, 2025
  • MKURUGENZI MPYA NANYAMBA NA DAS MPYA MTWARA WATAKIWA KUSIMAMIA MIRADI YA MAENDELEO

    June 23, 2025
  • MASHIRIKA YASIYO YA KISERIKALI YATAKIWA KUPUNGUZA UTEGEMEZI KWA WAFADHILI.

    June 28, 2025
  • MAREKANI KUTUMIA BANDARI YA MTWARA KUSAFIRISHA BIDHAA

    June 30, 2025
  • Tazama Zote

Video

"MIRADI YA GESI KUNUFAISHA WAKAZI" MHE. DKT. DOTO BITEKO
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • IKULU
  • UTUMISHI
  • e-GA
  • MAOMBI YA KUCHOMA CHANJO YA UVIKO-19
  • SALARY SLIP
  • NBS
  • TAMISEMI

Kurasa Mashuhuri

  • TOVUTI KUU YA SERIKALI
  • WIZARA YA HABARI
  • TAMISEMI

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Eneo kwa Ramani

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Mtwara

    Anuani ya Posta: 544, MTWARA

    Simu: +255 23 2333014

    Mobile: +255 23 2333014

    Barua Pepe: ras@mtwara.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali yaulizwayo mara kwa mara
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Mtwara. Haki zote zimehifadhiwa.