Kaimu Mratibu wa mradi wa Uimarishaji Mifumo Sekta za Umma (PS3+) kanda ya kusini CPA Emma Liberatus pamoja na Mshauri wa Utawala bora na ushirikishwaji wa wananchi Dr. Paul Amanieli Chikira wamekutana na Seksheni na Vitengo kwa ajili ya kufanya majadiliano yanayohusu majukumu ya sekretarieti ya Mkoa katika kuimarisha Utawala Bora. Kikao kazi hiki kitafanyika kwa muda wa siku mbili kuanzia 17 - 18 Juni 2021 na kisha kushuka ngazi za Halmashauri.
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Mtwara
Anuani ya Posta: 544, MTWARA
Simu: +255 23 2333014
Mobile: +255 23 2333014
Barua Pepe: ras@mtwara.go.tz
Haki Miliki © 2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Mtwara. Haki zote zimehifadhiwa.