• Wasiliana Nasi |
    • Maswali yaulizwayo mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Mtwara Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Mtwara

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
    • Idara
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Mipango na Uratibu
      • Rasilimali watu
      • Elimu
      • Miundo Mbinu
      • Maji
    • Kitengo
      • Huduma za Kisheria
      • TEHAMA
      • Ukaguzi wa ndani
      • Manunuzi
      • Fedha na `Uhasibu
  • Wilaya
    • Mtwara
    • Newala
    • Tandahimba
    • Masasi
    • Nanyumbu
  • Halmashauri
    • MtwaraMC
    • MtwaraDC
    • Tandahimba
    • NewalaDC
    • MasasiDC
    • MasasiTC
    • NanyumbuDC
    • Newalatc
    • NanyambaTC
  • Uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Afya
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Utaratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
    • Profile za Watumishi
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Tukio
  • Ijuwe Mtwara

“MTWARA NI SALAMA KWA UWEKEZAJI NA UTALII” RC SAWALA

Posted on: September 8th, 2024

Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Mhe. Kanali Patrick Sawala mapema leo tarehe 08/09/2024 amekutana na watalii waliotokea Afrika Kusini wanaosafiri ulimwenguni kote kwa meli ya Luna Moon iliyotengenezwa mwaka 1910.

“Tumetembea zaidi ya nchi 100; Tanzania ni nchi nzuri, Mtwara inavutia na watu wake ni wakarimu sana tutakuwa mabalozi wazuri kuitangaza Mtwara na nchi yote.” Alieleza mmoja wa wamiliki wa Luna Moon.

Aidha, Afisa anaeshughulikia masuala ya uwekezaji Mkoa wa Mtwara Bi. Nanjiva Nzunda ametumia fursa hiyo kuwaleza wageni hao vivutio mbalimbali vipatikanavyo mkoa wa Mtwara huku akiwakaribisha kuwekeza kwenye fursa mbalimbali.

Kwa upande wake Kanali Sawala amewahakikishia wageni hao kuwa Mtwara ni salama kwa utalii na uwekezaji. 

“Hawa watalii wamekuja kutembelea Tanzania na wako Mtwara kwasababu tuna uhakika wa usalama, vivutio na Jana walikuwa kwenye Tamasha la Nyangumi kule Msimbati. Ninaomba nitumie nafasi hii kuwakaribisha watalii wote wa ndani na nje waje Mtwara tuna vivutio vingi na usalama ni wa kutosha.” Alieleza Mkuu wa Mkoa


Matangazo

  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2024 January 23, 2025
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • MWENGE WA UHURU KARIBU MTWARA

    May 17, 2025
  • JESHI LA POLISI TANZANIA YATUPIA JICHO MIUNDOMBINU YA GESI ASILIA MTWARA

    May 20, 2025
  • MWENGE WA UHURU MASASI

    May 18, 2025
  • NANYUMBU WAANZISHA BIO ZA MWENGE MTWARA

    May 17, 2025
  • Tazama Zote

Video

"MIRADI YA GESI KUNUFAISHA WAKAZI" MHE. DKT. DOTO BITEKO
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • IKULU
  • UTUMISHI
  • e-GA
  • MAOMBI YA KUCHOMA CHANJO YA UVIKO-19
  • SALARY SLIP
  • NBS
  • TAMISEMI

Kurasa Mashuhuri

  • TOVUTI KUU YA SERIKALI
  • WIZARA YA HABARI
  • TAMISEMI

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Eneo kwa Ramani

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Mtwara

    Anuani ya Posta: 544, MTWARA

    Simu: +255 23 2333014

    Mobile: +255 23 2333014

    Barua Pepe: ras@mtwara.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali yaulizwayo mara kwa mara
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Mtwara. Haki zote zimehifadhiwa.