Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Kanali Ahmed Abbas Ahmed amesema kuwa fursa za uwekezaji zilizopo ndani ya Mkoa wa Mtwara ni za viwango vya juu.
Kanali Abbas ameyasema hayo katika mahojiano ya moja kwa moja kupitia kipindi cha good morning ambapo amezungumzia fursa za uwekezaji ndani ya mkoa wa Mtwara, changamoto na jitihada zinazofanywa na serikali katika kuzitatua changamoto hizo.
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Mtwara
Anuani ya Posta: 544, MTWARA
Simu: +255 23 2333014
Mobile: +255 23 2333014
Barua Pepe: ras@mtwara.go.tz
Haki Miliki © 2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Mtwara. Haki zote zimehifadhiwa.