Vitamini A ni muhimu sana katika kuimarisha kinga ya mwili dhidi ya magonjwa. Kwa mkoa wa Mtwara tatizo la upungufu wa Vitamini A linaathiri takribani asilimia 33% ya watoto. Madhara yatokanayo na upungufu huu ni pamoja na vifo vitokanavyo na ugonjwa wa surua, maambukizi ya mfumo wa upumuaji na magonjwa ya kuhara. (WHO), University of Toronto, 1993). Katika kupambana na tatizo hili Mkoa wa Mtwara umekuja na mkakati ulioanza tarehe 1 Juni na utaisha Juni 30 mwaka huu. soma HAPA kupata ufafanuzi zaidi.
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Mtwara
Anuani ya Posta: 544, MTWARA
Simu: +255 23 2333014
Mobile: +255 23 2333014
Barua Pepe: ras@mtwara.go.tz
Haki Miliki © 2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Mtwara. Haki zote zimehifadhiwa.