MTWARA YAUNGANA KUSHIRIKI USAFI PAMOJA NA MAZOEZI.
Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Kanali Patrick Kenan Sawala aungana na mamia ya wananchi katika Manispaa ya Mtwara Mikindani kwa ajili ya kufanya mazoezi na kushiriki zoezi la usafi.
Aidha, amewataka wananchi wa mtwara kuendelea kufanya usafi na mazoezi ili kuimarisha afya na kuhakikisha mtwara inazidi kuwa safi.
Pia amewapongeza kwa kuunga mkono kauli ya mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan ya kila jumamosi ya mwisho wa mwezi kuwa ni siku ya usafi.
Aprili 27, 2024
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Mtwara
Anuani ya Posta: 544, MTWARA
Simu: +255 23 2333014
Mobile: +255 23 2333014
Barua Pepe: ras@mtwara.go.tz
Haki Miliki © 2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Mtwara. Haki zote zimehifadhiwa.