Mkuu wa mkoa wa Mtwara amewataka madereva, kondakta na wakatisha tiketi magari ya abiria yanayoingia na kutoka Mkoani Mtwara kuzingatia misingi ya afya ili kujilinda wenyewe pamoja na abiria dhidi ya ugonjwa wa COVID-19.
Agizo hilo amelitoa leo Aprili 7, 2020 wakati akizindua utekelezaji wa agizo la serikali la kujikinga na maambukizi ya virusi vya Korona katika hatua ya upuliziaji dawa mabasi yaendayo mikoani.
Zoezi hilo lililofanyika saa 11 alfajili limehusiha magari yote yanayotokea stendi kuu ya Chipuputa na litaendelea kwa mwezi kwa wilaya zote za Mkoa wa Mtwara.
Picha na maelezo ya KINA bonyeza HAPA
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Mtwara
Anuani ya Posta: 544, MTWARA
Simu: +255 23 2333014
Mobile: +255 23 2333014
Barua Pepe: ras@mtwara.go.tz
Haki Miliki © 2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Mtwara. Haki zote zimehifadhiwa.