• Wasiliana Nasi |
    • Maswali yaulizwayo mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Mtwara Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Mtwara

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
    • Idara
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Mipango na Uratibu
      • Rasilimali watu
      • Elimu
      • Miundo Mbinu
      • Maji
    • Kitengo
      • Huduma za Kisheria
      • TEHAMA
      • Ukaguzi wa ndani
      • Manunuzi
      • Fedha na `Uhasibu
  • Wilaya
    • Mtwara
    • Newala
    • Tandahimba
    • Masasi
    • Nanyumbu
  • Halmashauri
    • MtwaraMC
    • MtwaraDC
    • Tandahimba
    • NewalaDC
    • MasasiDC
    • MasasiTC
    • NanyumbuDC
    • Newalatc
    • NanyambaTC
  • Uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Afya
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Utaratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
    • Profile za Watumishi
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Tukio
  • Ijuwe Mtwara

Muarobaini wa tatizo la umeme Mtwara wapatikana

Posted on: May 22nd, 2018

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Kassim Majaliwa Majaliwa (MB) amezindua mradi wa umeme ambao utaunganisha mikoa ya Mtwara na Lindi katika Gridi ya Taifa. Kabla ya mradi huu Mikoa hii miwili ilikuwa ikipokea nishati hiyo kutoka kwenye kituo cha kuzalisha umeme kilichoko Mtwara mjini ambapo mahitaji ya Mikoa ya Lindi na Mtwara kwa sasa yamekuwa yakitajwa kuwa ni megawati 16.5.

Akizindua mradi huo katika kituo cha kuunganisha nishati hiyo kijijini Mahumbika Lindi Mheshimiwa Waziri Mkuu amesema kwamba mradi huo ni miongoni mwa ahadi ya serikali ya awamu ya tano ya kuhakikiisha inatatua changamoto zote zinazokwamisha maendeleo.

Amesema hiyo ni fursa muhimu kwa mikoa ya Lindi na Mtwara kualika wawekezaji hasa baada ya kuondokana na tatizo la nishati ya umeme

Baada ya zoezi hilo lililofanyika huko Lindi Mheshimiwa Waziri Mkuu aliyekuwa na ziara ya siku moja katika mikoa hii miwili amezindua upanuzi wa kituo cha kufua umeme kilichoko Mtwara mjini ambapo serikali ya awamu ya tano imeongeza mashine mbili zenye uwezo wa kufua megawati 2 kila moja. Hilo linakifanya kituo hicho kilichokuwa na uwezo wa kuzalisha megawati 18 kuanza kuzalisha megawati 22.

Kwa miezi ya hivi karibuni mikoa ya Mtwara na Lindi ilikumbwa na changamoto kubwa ya kukatika katika kwa umeme hasa kutokana na kuharibika kwa baadhi ya mashine katika kituo hicho. Kufuatia hali hiyo serikali iliahidi kununua mashine mbili na kuzifanyia matengenezo mashine zilizoharibika. Ahadi hiyo imekamilika.

Baada ya zoezi la miundombinu ya Umeme Mheshimiwa Waziri  Mkuu amezindua usafirishaji wa mafuta kupitia Bandari ya Mtwara. Kabla ya hatua hii mkoa wa Mtwara na mikoa yote ya kusini ilikuwa ikipata mafuta kutokea Bandari ya Dar es Salaam hali ambayo ilikuwa ikiifanya nishati hiyo kuuzwa kwa bei ya juu kutokana na gharama za usafirishaji kutoka Dar es Salaam.

Akizungumzaia mafanikio ya hatua hiyo Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Mheshimiwa Gelasius Byakanwa amesema mambo yote haya mawili yanatoa fursa ya mkoa kuchagamuka zaidi. Mafuta haya yanatarajiwa kuchukuliwa hapa mkoani na kusafirishawa ndani na nje ya nchi. Ametoa wito kwa wawekezaji kuja mkoani Mtwara kwani Fursa kubwa zimefunguka.

Matangazo

  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KIDATO CHA KWANZA 2022 November 24, 2021
  • Majina ya watumishi wa umma wanaostahili kulipwa madai ya malimbikizo February 09, 2018
  • KUFANYA MAOMBI YA KUCHOMA CHANJO YA UVIKO-19 August 30, 2021
  • Matokeo ya Kidato cha NNe 2017 January 30, 2018
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • MKOA WA MTWARA WASHEHEREKEA SIKU YA KUZALIWA KWA MAMA DKT. SAMIA SULUHU HASSAN KWA KUGAWA TAULO ZA KIKE 1500 KWA WANAFUNZI WA SHULE ZA MSINGI.

    January 27, 2023
  • SEKTA YA VIWANDA ZINGATIENI SHERIA- WAZIRI WA BIASHARA, VIWANDA NA UWEKEZAJI_DKT: ASHATU KIJAJI

    January 07, 2023
  • KANZIDATA YA WAKULIMA WA KOROSHO KUONGEZA TIJA.

    January 04, 2023
  • NANYAMBA YAPATA UHAKIKA WA ELIMU KWA WATOTO WA KIDATO CHA KWANZA MWAKA 2023.

    December 30, 2022
  • Tazama Zote

Video

Wakulima Mtwara wachangamkia kilimo cha Ufuta
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • MAOMBI YA KUCHOMA CHANJO YA UVIKO-19
  • NBS
  • IKULU
  • UTUMISHI
  • SALARY SLIP
  • e-GA

Kurasa Mashuhuri

  • TAMISEMI
  • TOVUTI KUU YA SERIKALI
  • WIZARA YA HABARI

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Eneo kwa Ramani

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Mtwara

    Anuani ya Posta: 544, MTWARA

    Simu: +255 23 2333014

    Mobile: +255 23 2333014

    Barua Pepe: ras@mtwara.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali yaulizwayo mara kwa mara
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Mtwara. Haki zote zimehifadhiwa.