• Wasiliana Nasi |
    • Maswali yaulizwayo mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Mtwara Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Mtwara

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
    • Idara
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Mipango na Uratibu
      • Rasilimali watu
      • Elimu
      • Miundo Mbinu
      • Maji
    • Kitengo
      • Huduma za Kisheria
      • TEHAMA
      • Ukaguzi wa ndani
      • Manunuzi
      • Fedha na `Uhasibu
  • Wilaya
    • Mtwara
    • Newala
    • Tandahimba
    • Masasi
    • Nanyumbu
  • Halmashauri
    • MtwaraMC
    • MtwaraDC
    • Tandahimba
    • NewalaDC
    • MasasiDC
    • MasasiTC
    • NanyumbuDC
    • Newalatc
    • NanyambaTC
  • Uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Afya
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Utaratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
    • Profile za Watumishi
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Tukio
  • Ijuwe Mtwara

Naibu Waziri Waitara afundisha HIsabati Masasi

Posted on: March 9th, 2019

Wakati Dunia ikiazimisha siku ya wananwake Duniani Naibu Waziri Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Mwita Waitara ambaye kitaaluma ni mwalimu wa Hisabati na Fizikia ametembelea shule ya wasicha ya Masasi na kufundisha somo la Hisabati kidato cha Nne.

akizungumza baada ya kutoa elimu hiyo Mhe. Waitara ambaye ni mwalimu kitaaluma amepongeza jitihada za walimu katika kuhakikisha watoto wanapata elimu huku akisisitiza kuweka msisitizo zaidi katika masomo ya sayansi.

Naye Kiranja Mkuu wa shule hiyo Mwinga Martin Ndaki amempongeza Mhe. Waitara huku akisisitiza watoto wa kike kujiamini kwa kile alichodai uumbaji wa Mungu uliweka ziada kwa watoto wa kike ikiwemo ujasiri na ushawishi.

Mhe. Waitara yuko Katika ziara ya kikazi ya siku 6 Mkoani Mtwara ambapo ametembelea maeneo mbalimbali kukagua maendeleo ya miundombinu ya elimu pamoja na kuzunguza na watumishi wa Umma

Matangazo

  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KIDATO CHA KWANZA 2022 November 24, 2021
  • Majina ya watumishi wa umma wanaostahili kulipwa madai ya malimbikizo February 09, 2018
  • KUFANYA MAOMBI YA KUCHOMA CHANJO YA UVIKO-19 August 30, 2021
  • Matokeo ya Kidato cha NNe 2017 January 30, 2018
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • NI JUKUMU LETU VIONGOZI KUIELIMISHA JAMII UMUHIMU WA CHANJO - KANALI AHMED ABBAS AHMED_MKUU WA MKOA WA MTWARA.

    July 20, 2023
  • JIANDAENI KUTEKELEZA DIRA YA TAIFA YA MAENDELEO 2050 – KANALI AHMED ABBAS AHMED_MKUU WA MKOA WA MTWARA.

    July 19, 2023
  • SERIKALI KUENDELE KUWASHIKA MKONO WAATHIRIKA WA MAJANGA , MILIONI 231 ZATUMIKA – MHE. JENISTA MHAGAMA

    July 17, 2023
  • TUNATEKELEZA ILANI KWA VITENDO - DANIEL CHONGOLO_KATIBU MKUU CHAMA CHA MAPINGUZI.

    July 16, 2023
  • Tazama Zote

Video

Wakulima Mtwara wachangamkia kilimo cha Ufuta
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • MAOMBI YA KUCHOMA CHANJO YA UVIKO-19
  • NBS
  • IKULU
  • UTUMISHI
  • SALARY SLIP
  • e-GA

Kurasa Mashuhuri

  • TAMISEMI
  • TOVUTI KUU YA SERIKALI
  • WIZARA YA HABARI

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Eneo kwa Ramani

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Mtwara

    Anuani ya Posta: 544, MTWARA

    Simu: +255 23 2333014

    Mobile: +255 23 2333014

    Barua Pepe: ras@mtwara.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali yaulizwayo mara kwa mara
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Mtwara. Haki zote zimehifadhiwa.