• Wasiliana Nasi |
    • Maswali yaulizwayo mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Mtwara Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Mtwara

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
    • Idara
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Mipango na Uratibu
      • Rasilimali watu
      • Elimu
      • Miundo Mbinu
      • Maji
    • Kitengo
      • Huduma za Kisheria
      • TEHAMA
      • Ukaguzi wa ndani
      • Manunuzi
      • Fedha na `Uhasibu
  • Wilaya
    • Mtwara
    • Newala
    • Tandahimba
    • Masasi
    • Nanyumbu
  • Halmashauri
    • MtwaraMC
    • MtwaraDC
    • Tandahimba
    • NewalaDC
    • MasasiDC
    • MasasiTC
    • NanyumbuDC
    • Newalatc
    • NanyambaTC
  • Uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Afya
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Utaratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
    • Profile za Watumishi
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Tukio
  • Ijuwe Mtwara

RAS Mtwara aagiza Maafisa Habari kuhudhuria Mafunzo ya Uimarishaji Sekta za Umma.

Posted on: March 23rd, 2017

Katibu Tawala Mkoa wa Mtwara, Alfed Luanda ameagiza Maafisa Habari na wataalamu wa Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) wa Halmashauri na mikoa ya Lindi, Mtwara na Ruvuma Kuhudhuria mafunzo ya Uimarishaji wa Sekta za Umma yanayoendelea katika ukumbi wa Tiffany Diamond Hotel ulioko mjini Mtwara.


Agizo hilo amelitoa juzi baada ya kutoridhishwa na mahudhurio ya wajumbe wa mafunzo hayo yanayodhaminiwa na USAID kupitia program ya PS3. Amesema Maafisa Habari na wataalam wa TEHAMA wa Mikoa hii mitatu wahakikishe wanawasiliana na Makatibu Tawala wa Mikoa yao ili wanamafunzo ambao hawajafika wafike haraka iwezekanavyo.


Amesisitiza kuwa mafunzo haya yaliyokusudiwa kwa Maafisa Habari na  TEHAMA wa mikoa hii mitatu yanapaswa kuwa hamasa kwa walengwa na kuiona kama fursa muhimu yenye lengo la kuwainua kitaaluma.  Anasema haitapendekeza kama mradi utamaliza muda wake wakawepo wanufaika wengine ambao hawakuichangamukia fursa hii.


Aidha, Luanda amewatahadharisha wanamafunzo kuhakikisha wanahuisha tovuti zao mara kwa mara bila kusubiri kukumbushwa. Amesema mara nyingi tovuti zimekuwa zikianzishwa pasipo kuendelezwa hivyo huu ni muda muafaka kuhakikisha mafunzo haya yanawajenga  katika maarifa ya kwenda na wakati hasa katika kipindi hiki ambacho serikali inasisitiza suala la utendaji kazi uliotukuka.


Awali akimkaribisha Mgeni Rasmi, Mkuu wa timu ya wawezeshaji, Edgar Mdemu amesema mafunzo haya yanadhaminiwa na USAID na kwamba lengo lake ni kuhakikisha kila Afisa Habari na Mtaalamu wa TEHAMA wa halmashauri na mkoa ulioko katika mradi huo anapata mafunzo kisha kufungua Tovuti ambazo zitazinduliwa rasmi na Waziri wa Habari Utamaduni na Sanaa mjini Dodoma.


Kwa upande wake, Joseline Chambasi, Afisa Habari wa Halmashauri ya Wilaya ya Newala amesema mafunzo hayo yatarahisisha utoaji wa taarifa kwani yanaenda sambamba na mabadiliko ya teknolojia. Amesema dunia ya sasa iko kiganjani tofauti na dunia, hivyo afisa habari anapaswa kuhakikisha anampa mwananchi taarifa kiganjani kwake kupitia teknolojia ya Wakati husika. 


Kutazama video yake Bonyeza Hapa




Matangazo

  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KIDATO CHA KWANZA 2022 November 24, 2021
  • Majina ya watumishi wa umma wanaostahili kulipwa madai ya malimbikizo February 09, 2018
  • KUFANYA MAOMBI YA KUCHOMA CHANJO YA UVIKO-19 August 30, 2021
  • Matokeo ya Kidato cha NNe 2017 January 30, 2018
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • MKUU WA MKOA KUTILIA MKAZO ELIMU NA UKUSANYAJI MAPATO

    August 04, 2022
  • Zingatieni Sheria ya Mazingira. ‘’Jafo’’

    December 20, 2021
  • BILIONI 268 KUMALIZIA BARABARA YA MTWARA – NEWALA HADI MASASI KWA KIWANGO CHA LAMI

    November 25, 2021
  • BANDARI YA MTWARA KUPOKEA MELI KUBWA NA KUSAFIRISHA MAKAA YA MAWE KWENDA NJE YA NCHI.

    November 01, 2021
  • Tazama Zote

Video

Wakulima Mtwara wachangamkia kilimo cha Ufuta
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • MAOMBI YA KUCHOMA CHANJO YA UVIKO-19
  • NBS
  • IKULU
  • UTUMISHI
  • SALARY SLIP
  • e-GA

Kurasa Mashuhuri

  • TAMISEMI
  • TOVUTI KUU YA SERIKALI
  • WIZARA YA HABARI

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Eneo kwa Ramani

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Mtwara

    Anuani ya Posta: 544, MTWARA

    Simu: +255 23 2333014

    Mobile: +255 23 2333014

    Barua Pepe: ras@mtwara.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali yaulizwayo mara kwa mara
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Mtwara. Haki zote zimehifadhiwa.