Katika hafla ya utiaji saini baini ya wakala wa barabara za mijini na vijijini (TARULA) na wakandarasi, Serikali Mkoani Mtwara imewataka wakandarasi kuonyesha weledi wa kazi, Uadilifu na kutekeleza miradi katika viwango vinavyohitajika , katika kipindi hiki cha mwaka wa fedha 2021/ 2022, ambapo Mkoa wa Mtwara unatarajia kufunga mikataba themanini na nane, kwa ajili ya ujenzi wa barabara za mijini na vijijini.
Hafla hii ya utiaji Saini limehudhuliwa na Mkuu wa Wilaya ya Mtwara Dustani Kyobya, akimwakilisha Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Brigedia Jenerali Marco Gaguti.
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Mtwara
Anuani ya Posta: 544, MTWARA
Simu: +255 23 2333014
Mobile: +255 23 2333014
Barua Pepe: ras@mtwara.go.tz
Haki Miliki © 2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Mtwara. Haki zote zimehifadhiwa.