• Wasiliana Nasi |
    • Maswali yaulizwayo mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Mtwara Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Mtwara

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
    • Idara
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Mipango na Uratibu
      • Rasilimali watu
      • Elimu
      • Miundo Mbinu
      • Maji
    • Kitengo
      • Huduma za Kisheria
      • TEHAMA
      • Ukaguzi wa ndani
      • Manunuzi
      • Fedha na `Uhasibu
  • Wilaya
    • Mtwara
    • Newala
    • Tandahimba
    • Masasi
    • Nanyumbu
  • Halmashauri
    • MtwaraMC
    • MtwaraDC
    • Tandahimba
    • NewalaDC
    • MasasiDC
    • MasasiTC
    • NanyumbuDC
    • Newalatc
    • NanyambaTC
  • Uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Afya
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Utaratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
    • Profile za Watumishi
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Tukio
  • Ijuwe Mtwara

TUMEJIPANGA KOROSHO YOTE ITASAFIRISHWA KUPITIA BANDARI YA MTWARA, KANALI SAWALA

Posted on: November 7th, 2024

Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Kanali Patrick Sawala amewataka wakazi wa Mtwara kutoa ushirikiano Kwa bandari ya Mtwara ili iweze kutekeleza agizo la Rais la kusafirisha Korosho kupitia bandari hiyo.


Kanali Sawala ametoa kauli hiyo wakati wa ziara yake ya kukagua miundombinu katika bandari hiyo ambapo amesema uwekezaji Mkubwa wa zaidi ya shilingi bilioni 157 uliofanywa na serikali umeiongezea bandari uwezo wa kusafirisha mizigo mingi zaidi tofauti na hali ilivyokuwa miaka michache iliyopita.


" Bila shaka Kila mmoja wenu  anakumbuka hali ya usafirishaji ilivyokuwa kabla ya kuboresha miundombinu, hivi Sasa uwezo wa bandari yetu wa kusafirisha mizigo umepanda kutoka tani 400,000 hadi tani 1600, 000 Kwa mwaka" alisema Kanali Sawala.


Aidha Kanali Sawala ameongeza kuwa kutokana na ongezeko la uzalishaji wa zao la korosho katika msimu wa 2024/25  ni dhahiri kuwa hali ya  uchumi wa wakazi wa Mtwara itaimarika huku akiwataka kuitumia vizuri fursa hiyo kujiletea Maendeleo.


Halikadhalika Kanali Sawala ameitumia fursa hiyo kutoa wito Kwa wafanyabiashara pamoja na wasafirishaji kuhakikisha korosho zote zilizoko katika maghala makuu zinasafirishwa hadi bandarini.


" Ndugu zangu tumeshuhudia jinsi uzalishaji wa korosho ulivyopanda, Sasa nitoe wito Kwa wadau wote wanaohusika na usafirishaji wa korosho kutoka kwenye maghala makuu kuharakisha  mchakato wa kuzisafirisha mpaka bandarini" alisisitiza Kanali Sawala


Pia Kanali Sawala ameitumia fursa hiyo kumshukuri Mhe Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan Kwa kuruhusu bandari ya Mtwara kusafirisha Korosho hatua ambayo amesema imechangia kutoa ajira sambamba na kuongeza pato la Mkoa.

Matangazo

  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2024 January 23, 2025
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • RC SAWALA "ACHENI KUFANYA KAZI KWA MAZOEA"

    June 21, 2025
  • MTWARA MWENYEJI WA MAFUNZO YA KOROSHO BARA LA AFRIKA.

    June 23, 2025
  • NHIF YAFANYA MAZUMGUMZO NA RC SAWALA

    June 23, 2025
  • RC SAWALA AAGIZA VYAMA VYA USHIRIKA KUSHUGHULIKIA CHANGAMOTO ZA WAKULIMA

    June 24, 2025
  • Tazama Zote

Video

"MIRADI YA GESI KUNUFAISHA WAKAZI" MHE. DKT. DOTO BITEKO
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • IKULU
  • UTUMISHI
  • e-GA
  • MAOMBI YA KUCHOMA CHANJO YA UVIKO-19
  • SALARY SLIP
  • NBS
  • TAMISEMI

Kurasa Mashuhuri

  • TOVUTI KUU YA SERIKALI
  • WIZARA YA HABARI
  • TAMISEMI

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Eneo kwa Ramani

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Mtwara

    Anuani ya Posta: 544, MTWARA

    Simu: +255 23 2333014

    Mobile: +255 23 2333014

    Barua Pepe: ras@mtwara.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali yaulizwayo mara kwa mara
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Mtwara. Haki zote zimehifadhiwa.