• Wasiliana Nasi |
    • Maswali yaulizwayo mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Mtwara Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Mtwara

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
    • Idara
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Mipango na Uratibu
      • Rasilimali watu
      • Elimu
      • Miundo Mbinu
      • Maji
    • Kitengo
      • Huduma za Kisheria
      • TEHAMA
      • Ukaguzi wa ndani
      • Manunuzi
      • Fedha na `Uhasibu
  • Wilaya
    • Mtwara
    • Newala
    • Tandahimba
    • Masasi
    • Nanyumbu
  • Halmashauri
    • MtwaraMC
    • MtwaraDC
    • Tandahimba
    • NewalaDC
    • MasasiDC
    • MasasiTC
    • NanyumbuDC
    • Newalatc
    • NanyambaTC
  • Uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Afya
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Utaratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
    • Profile za Watumishi
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Tukio
  • Ijuwe Mtwara

ZAMBIA NA MTWARA KUSHIRIKIANA KIUCHUMI

Posted on: November 5th, 2024

Naibu Katibu Mkuu Kiongozi wa Serikali ya Zambia Siazongo Siakalenge akiambatana na balozi anayeiwakilisha nchi hiyo hapa nchini ameanza ziara ya kikazi Mkoani Mtwara itakayohusisha kutembelea miradi mbalimbali ya Maendeleo ikiwemo bandari ya Mtwara

Katika salamu zake Kwa viongozi mbalimbali waliofika kumlaki Naibu Katibu Mkuu Kiongozi Siakalenge ameipongeza serikali ya Tanzania Kwa kuendelea kudumisha mahusiano mema kati ya nchi hizo mbili na kuahidi kuwa nchi yake itaendelea kuuenzi uhusiano huo Kwa vitendo.

Aidha Mhe Siakalenge ameongeza kuwa katika ziara yake ya siku moja Mkoani Mtwara ujumbe wake umejifunza masuala mbalimbali ya usafirishaji pamoja na fursa za kiuchumi zilizopo ambapo wameweka mikakati ya kuzitumia Kwa maslahi ya wananchi wa pande zote mbili.

Mara baada ya kutembelea bandari ya Mtwara na kujionea jinsi inavyofanya kazi na Naibu Katibu Mkuu Siakalenge amesema Zambia iko tayari kushirikiana na serikali ya Mkoa wa Mtwara kuzitumia fursa za kiuchumi zilizopo Kwa maslahi ya pande zote mbili.


Miongoni mwa viongozi walioambatana na Naibu Katibu Mkuu Kiongozi katika ziara hiyo ya siku moja ni pamoja na balozi wa Zambia Nchini Tanzania pamoja na baadhi ya Mawaziri na Makatibu wakuu wa Serikali ya Zambia.

Matangazo

  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2024 January 23, 2025
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • RC SAWALA "ACHENI KUFANYA KAZI KWA MAZOEA"

    June 21, 2025
  • MTWARA MWENYEJI WA MAFUNZO YA KOROSHO BARA LA AFRIKA.

    June 23, 2025
  • NHIF YAFANYA MAZUMGUMZO NA RC SAWALA

    June 23, 2025
  • RC SAWALA AAGIZA VYAMA VYA USHIRIKA KUSHUGHULIKIA CHANGAMOTO ZA WAKULIMA

    June 24, 2025
  • Tazama Zote

Video

"MIRADI YA GESI KUNUFAISHA WAKAZI" MHE. DKT. DOTO BITEKO
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • IKULU
  • UTUMISHI
  • e-GA
  • MAOMBI YA KUCHOMA CHANJO YA UVIKO-19
  • SALARY SLIP
  • NBS
  • TAMISEMI

Kurasa Mashuhuri

  • TOVUTI KUU YA SERIKALI
  • WIZARA YA HABARI
  • TAMISEMI

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Eneo kwa Ramani

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Mtwara

    Anuani ya Posta: 544, MTWARA

    Simu: +255 23 2333014

    Mobile: +255 23 2333014

    Barua Pepe: ras@mtwara.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali yaulizwayo mara kwa mara
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Mtwara. Haki zote zimehifadhiwa.