• Wasiliana Nasi |
    • Maswali yaulizwayo mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Mtwara Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Mtwara

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
    • Idara
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Mipango na Uratibu
      • Rasilimali watu
      • Elimu
      • Miundo Mbinu
      • Maji
    • Kitengo
      • Huduma za Kisheria
      • TEHAMA
      • Ukaguzi wa ndani
      • Manunuzi
      • Fedha na `Uhasibu
  • Wilaya
    • Mtwara
    • Newala
    • Tandahimba
    • Masasi
    • Nanyumbu
  • Halmashauri
    • MtwaraMC
    • MtwaraDC
    • Tandahimba
    • NewalaDC
    • MasasiDC
    • MasasiTC
    • NanyumbuDC
    • Newalatc
    • NanyambaTC
  • Uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Afya
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Utaratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
    • Profile za Watumishi
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Tukio
  • Ijuwe Mtwara

Neema ya ziara ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango kwa wana Mtwara na Kusini kwa Ujumla

Posted on: July 26th, 2021

Makamu wa Rais  wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango, leo Julai 26, 2021 ametembelea Bandari ya Mtwara na kujionea ujenzi wa gati mpya uliofanywa bandari hapo kwa kugharimu shiling bilioni 157. Akiwa bandarini hapo Mkamu wa Rais amesema Serikali ya awamu ya Sita imejipanga kuhakikisha kuwa Bandari ya Mtwara inatumika ipasavyo ili kuinua uchumi wa mkoa wa Mtwara na Taifa kwa ujumla. Ameuagiza uongozi wa Mamlaka ya Bandari kuendelea kutafuta masoko katika nchi jirani kama vile Msumbiji, Malawi na Comoro ili kuongeza wigo wa matumizi ya bandari ya Mtwara na kuliongezea taifa mapato.

Aidha Makamu wa Rais ameitaka Wizara ya Kilimo, kuhakikisha mazao yote yanayolimwa Mikoa ya Kusini ya Ruvuma, Mtwara na Lindi kama vile mbaazi,ufuta na Korosho yasafirishwe kupitia Bandari ya Mtwara badala ya Bandari ya Dar es Salaam kuanzia msimu ujao. Pia ameitaka Wizara ya Kilimo na Wizara ya Ujenzi na uchukuzi kuhakikisha kwamba pembejeo za korosho zinapitia Bandari ya Mtwara na siyo bandari ya Dar es Salaam na utaratibu huu kuwa wa kudumu kuanzia sasa. Kwa upande wake Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Mhandisi Leonard Chamriho amesema tayari bandari hiyo ipo tayari kupokea meli zote zinazobeba shehena ya mizigo kwaajili ya mikoa ya kusini nan chi jirani na tayari wanafanya mazungumzo na kampuni mbalimbali ili kuzishawishi kutumia bandari hiyo. 

Katika hatua nyingine Makamu wa Rais ametembelea na kuweka jiwe la msingi mradi wa chujio la maji Mangamba unaogharimu shilingi bilioni 2.3. Mradi huo unatarajiwa kutatua changamoto ya upatikanaji wa maji safi na salama mkoani Mtwara. Makamu wa Rais ameagiza mradi huo kukamilika mwezi Septemba kama ilivyopangwa hapo awali ili wananchi waanze kupata maji safi na salama. Aidha ameagiza wizara ya maji kutumia malighafi za ndani ya nchi katika ujenzi wa miradi mbalimbali hapa nchini. 

Pia Makamu wa Rais  wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango  ameweka jiwe la msingi Hospitali ya Rufaa Kanda ya Kusini iliopo Manispaa ya Mikindani mkoani Mtwara, Leo Julai 26,2021, Mradi unaogharimu jumla ya Shilingi Bilioni 15.8. Hospitali ya Rufaa Kanda ya Kusini  itahudumia mikoa ya Kusini ya Mtwara, Lindi na Ruvuma. 

Matangazo

  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2024 January 23, 2025
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • CRDB KANDA YA KUSINI YAISHIKA MKONO MTWARA MAANDALIZI YA UMISETA TAIFA

    May 27, 2025
  • KUELEKEA SIKU YA MAZINGIRA DUNIANI, MIKOKO 6,000 YAPANDWA MTWARA.

    May 31, 2025
  • KAMATI YA LISHE MKOA WA MTWARA YAKUTANA

    May 30, 2025
  • MIRADI YA UJENZI ITOE AJIRA KWA WANANCHI” WAZIRI ULEGA

    May 27, 2025
  • Tazama Zote

Video

"MIRADI YA GESI KUNUFAISHA WAKAZI" MHE. DKT. DOTO BITEKO
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • IKULU
  • UTUMISHI
  • e-GA
  • MAOMBI YA KUCHOMA CHANJO YA UVIKO-19
  • SALARY SLIP
  • NBS
  • TAMISEMI

Kurasa Mashuhuri

  • TOVUTI KUU YA SERIKALI
  • WIZARA YA HABARI
  • TAMISEMI

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Eneo kwa Ramani

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Mtwara

    Anuani ya Posta: 544, MTWARA

    Simu: +255 23 2333014

    Mobile: +255 23 2333014

    Barua Pepe: ras@mtwara.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali yaulizwayo mara kwa mara
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Mtwara. Haki zote zimehifadhiwa.