• Wasiliana Nasi |
    • Maswali yaulizwayo mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Mtwara Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Mtwara

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
    • Idara
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Mipango na Uratibu
      • Rasilimali watu
      • Elimu
      • Miundo Mbinu
      • Maji
    • Kitengo
      • Huduma za Kisheria
      • TEHAMA
      • Ukaguzi wa ndani
      • Manunuzi
      • Fedha na `Uhasibu
  • Wilaya
    • Mtwara
    • Newala
    • Tandahimba
    • Masasi
    • Nanyumbu
  • Halmashauri
    • MtwaraMC
    • MtwaraDC
    • Tandahimba
    • NewalaDC
    • MasasiDC
    • MasasiTC
    • NanyumbuDC
    • Newalatc
    • NanyambaTC
  • Uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Afya
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Utaratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
    • Profile za Watumishi
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Tukio
  • Ijuwe Mtwara

Waziri Mkuu ampongeza RC Mtwara kwa kuendeleza Michezo

Posted on: June 10th, 2019

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa ampongeza Mkuu wa Mkoa wa Mtwara kwa jitihada anazozionesha katika kuendeleza michezo mkoani hapa.

Pongezi hizo amezitoa leo katika Uwanja wa Nangwanda Sijaona mjini Mtwara wakati akifungua mashindano ya UMITASHUMTA na UMISETA.

*“Napenda nimpongeze Mkuu wa Mkoa wa Mtwara ambaye amepanga utaratibu wa kuwakutanisha wananchi kwa ajili ya michezo na burudani kama lile tamasha lililofanyika wiki iliyopita kule Masasi... Hiyo ndiyo njia sahihi… na wengine waige”*  

 Tangu kuingia mkoani hapa Mhe. Byakanwa amekuwa akitumia michezo na burudani kutangaza fursa za utalii zilizoko.

Desemba 2018 aliwaongoza wananchi wa Manispaa ya Mtwara na Halmashauri ya Wilaya ya Mtwara kuandaa tamasha la Msangamkuu Beach Festival ambalo lilivuta umati mkubwa wa wananchi wa ndani na nje ya Mkoa. Aidha  Juni 6-9 mwaka huu aliwaongoza wananchi wa mji wa Masasai kuandaa tamasha la kutangaza utalii wa mji huo kupitia mlima Mkomaindo.

Tamasha hilo ambalo lilihudhuriwa na Msanii wa Bongo fleva mzaliwa na Tandahimba Mtwara Rajab Abdul Kahali Maarufu kwa jina la Harmonize lilitambulishwa kwa jina la *Masasi Rock Festival - Tukutane Kileleni*

Matangazo

  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2024 January 23, 2025
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • MWENGE WA UHURU KARIBU MTWARA

    May 17, 2025
  • JESHI LA POLISI TANZANIA YATUPIA JICHO MIUNDOMBINU YA GESI ASILIA MTWARA

    May 20, 2025
  • MWENGE WA UHURU MASASI

    May 18, 2025
  • NANYUMBU WAANZISHA BIO ZA MWENGE MTWARA

    May 17, 2025
  • Tazama Zote

Video

"MIRADI YA GESI KUNUFAISHA WAKAZI" MHE. DKT. DOTO BITEKO
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • IKULU
  • UTUMISHI
  • e-GA
  • MAOMBI YA KUCHOMA CHANJO YA UVIKO-19
  • SALARY SLIP
  • NBS
  • TAMISEMI

Kurasa Mashuhuri

  • TOVUTI KUU YA SERIKALI
  • WIZARA YA HABARI
  • TAMISEMI

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Eneo kwa Ramani

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Mtwara

    Anuani ya Posta: 544, MTWARA

    Simu: +255 23 2333014

    Mobile: +255 23 2333014

    Barua Pepe: ras@mtwara.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali yaulizwayo mara kwa mara
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Mtwara. Haki zote zimehifadhiwa.