• Wasiliana Nasi |
    • Maswali yaulizwayo mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Mtwara Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Mtwara

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
    • Idara
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Mipango na Uratibu
      • Rasilimali watu
      • Elimu
      • Miundo Mbinu
      • Maji
    • Kitengo
      • Huduma za Kisheria
      • TEHAMA
      • Ukaguzi wa ndani
      • Manunuzi
      • Fedha na `Uhasibu
  • Wilaya
    • Mtwara
    • Newala
    • Tandahimba
    • Masasi
    • Nanyumbu
  • Halmashauri
    • MtwaraMC
    • MtwaraDC
    • Tandahimba
    • NewalaDC
    • MasasiDC
    • MasasiTC
    • NanyumbuDC
    • Newalatc
    • NanyambaTC
  • Uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Afya
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Utaratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
    • Profile za Watumishi
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Tukio
  • Ijuwe Mtwara

Waziri wa Kilimo asitisha mkataba wa Mkurugenzi Bodi ya Korosho

Posted on: April 22nd, 2018

Waziri wa Kilimo Mheshimiwa Dkt. Charles Tizeba akizungumza na Waandishi wa Habari (hawapo Pichani) juu ya uamuzi wa kusitisha mkataba wa Mkurugenzi wa Bodi ya Korosho


Waziri wa Kilimo Mheshimiwa Dr. Charles Tizeba amemuagiza Katibu Mkuu Wizara ya kilimo Mhandisi Methew Mtigumwe kusitisha mkataba wa Mkurugenzi wa Bodi ya Korosho Tanzania, Hassan Jarruf kwa kile alichoeleza kuwa ni kutokana na mwenendo usioridhisha wa usimamizi wa zao la Korosho hapa nchini.

Akizungumza na waandishi wa habari leo mjini Dodoma, mazunguzo ambayo video yake inapatikana kwa kubonyeza HAPA, Mheshimiwa Dr. Tizeba amesema amemuagiza Katibu Mkuu achukuwe hatua hiyo kuanzia leo Aprili 21, 2018 na kwamba taratibu za kumpata atakayekaimu nafasi hiyo zitafanyika ndani ya kipindi kifupi.

‘Baada ya kuangalia mwenendio na kutafakari zao la korosho linavyokwenda, upatikaji wa viwatilifu, kwa ujumla linavyosimamiwa, nimeamua kuchukua hatua ya kusitisha mkataba wa aliyekuwa Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Korosho Bwana Hassan Jaruf kama Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya korosho’. Amesema Tizeba

Kwa muda mrefu sasa Bodi ya Korosho imekuwa ikilalamikiwa kutokana na kasoro mbalimbali za usimamizi wa zao hilo. katika musim wa 2017/2018 Bodi ya Koroho ililalamikiwa kwa kuchelewesha magunia ya kuhifadhia korosho jambo ambalo lilimsukuma Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Mheshimiwa Gelasius Byakanwa kuunda Tume kubaini chanzo cha kasoro. Tume hiyo ilibaini kuwepo mapungufu ambayo yalisabishwa na kutokuwajibika kwa Bodi ya Korosho

Aidha katika msimu wa mwaka huu 2018/2019 Bodi ya Korosho imeendelea kulalamikiwa kwa kuchelewesha pembejeo.

Matangazo

  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2024 January 23, 2025
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • RC SAWALA "ACHENI KUFANYA KAZI KWA MAZOEA"

    June 21, 2025
  • MTWARA MWENYEJI WA MAFUNZO YA KOROSHO BARA LA AFRIKA.

    June 23, 2025
  • NHIF YAFANYA MAZUMGUMZO NA RC SAWALA

    June 23, 2025
  • RC SAWALA AAGIZA VYAMA VYA USHIRIKA KUSHUGHULIKIA CHANGAMOTO ZA WAKULIMA

    June 24, 2025
  • Tazama Zote

Video

"MIRADI YA GESI KUNUFAISHA WAKAZI" MHE. DKT. DOTO BITEKO
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • IKULU
  • UTUMISHI
  • e-GA
  • MAOMBI YA KUCHOMA CHANJO YA UVIKO-19
  • SALARY SLIP
  • NBS
  • TAMISEMI

Kurasa Mashuhuri

  • TOVUTI KUU YA SERIKALI
  • WIZARA YA HABARI
  • TAMISEMI

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Eneo kwa Ramani

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Mtwara

    Anuani ya Posta: 544, MTWARA

    Simu: +255 23 2333014

    Mobile: +255 23 2333014

    Barua Pepe: ras@mtwara.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali yaulizwayo mara kwa mara
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Mtwara. Haki zote zimehifadhiwa.