Posted on: May 15th, 2017
Kiongozo wa Mbio za Mwenge kitaifa Amour Hamad Amour, amewataka wananchi mkoani Mtwara kupanda miti ili kuhifadhi mazingira. Amour ameyasema hayo leo Wakati akizindua mradi wa shamba la miti la mjasil...
Posted on: May 12th, 2017
Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Mheshimiwa Halima Dendego amewaongoza wananchi wa Mkoa wa Mtwara kuupokea Mwenge wa uhuru huku akiahidi kuukimbiza umbali wa kilometa 871.7 mkoani Mtwara kwa amani na utulivu.
...
Posted on: May 3rd, 2017
Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mheshimiwa William Lukuvi akimkabidhi Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Mheshimiwa Halima Dendego kitabu cha Mpango Kabambe wa Mji wa Mtwara katika Hafla fupi ...