Posted on: May 27th, 2025
Waziri wa Ujenzi, Mhe. Abdallah Ulega ameziagiza TANROAD na TARURA kuhakikisha wanawasimamia wakandarasi ili waweze kutoa ajira kwa wananchi wazawa pindi wanapotekeleza miradi ya ujenzi wa barabara na...
Posted on: May 26th, 2025
Waziri wa Ujenzi, Mhe. Abdallah Ulega ameeleza msimamo wa Serikali wa kutomwongezea muda mkandarasi atakaechelewesha kukamilisha mradi.
Waziri Ulega ameyasema hayo leo tarehe 26 Mei 2025 alipokuwa ...
Posted on: May 1st, 2025
Mkuu wa mkoa wa Mtwara Mhe. Kanali Patrick Sawala amewataka wafanyakazi kufanya kazi bila kubagua huku akiwataka kutoa huduma nzuri kwa wananchi wanaowahudumia. Amezungumza hayo wakati wa kil...