Posted on: November 25th, 2021
Serikali ya Tanzania imepokea mkopo wa Shilingi Bilioni 268 kutoka Benki ya Maendeleo ya Afrika kwa ajili ya mradi wa ujenzi wa Barabara ya Mnivata - Newala hadi Masasi kwa kiwango cha lami kwa ...
Posted on: November 1st, 2021
MELI ya kwanza kubeba Makaa ya Mawe imewasili Bandari ya Mtwara kwa ajili ya kupakia tani elfu 33 za Makaa ya Mawe kwenda nchini India.
“APRILIA NASSAU”, Jina la meli hiyo yenye urefu wa mita 183 i...
Posted on: September 27th, 2021
Na Michael Bakiri -
Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Brigedia Jenerali Marco Gaguti, amewapongeza viongozi na wananchi wa Mtwara kwa mapokeo mazuri ya chanjo ya UVIKO 19 katika mkoa huo, Mkoa wa Mtwara hadi ...