Posted on: February 7th, 2020
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania iko katika hatua yamwisho ya ukamilishaji wa ujenzi wa soko la kisasa katika Manispaa ya MtwaraMikindani.
Picha na maelezo zaidi HAPA
...
Posted on: January 30th, 2020
Mkoa wa Mtwara Umepokea jumla ya vitabu 11,812 kutoka Taasisi ya Elimu Tanzania (TET). Vitabu hivyo vya kiada vimekabidhiwa jana Januari 29, 2019 kisha kusambazwa wilaya zote za Mkoa wa Mtwar...
Posted on: January 7th, 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa wa Tanzania Mhe. John Pombe Magufuli akikatautepe kuashiria upanuzi wa uwanja wa ndege Mtwara April 2, 2019 wakati wa ziarayake ya kikazi ya siku tatu mkoani hapa
...