Posted on: October 2nd, 2019
Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru kitaifa 2019 Mzee Mkongea Ali amezitaka klabu za wapinga rushwa shuleni ziige mfano kutoka shule ya sekondari Ndanda. Amesema klabu nyingi walizokutana nazo katika ...
Posted on: September 30th, 2019
Kiongozi wa mbio za Mwenge wa Uhuru Mzee Mkongea Ali akikagua bidhaa za wajasiliamali.
Halmashauri ya Mji wa Masasi imetoa mkopo wenye thamani ya shilingi 79,500,000. sawa na asilimia 101....
Posted on: September 25th, 2019
Mwenyekiti wa Chemba ya Wafanyabiashara, wenye Viwanda na Kilimo Tanzania (TCCIA) Mkoa wa Mtwara, Swallah Said Swallah ameiomba Serikali kuweka mazingira rafiki ili kuhakikisha korosho zote zinazozali...