Posted on: May 18th, 2020
Katibu Tawala Msaidizi Mkoa wa Mtwara anayeshughulikia Rasilimali Watu, Renatus Mongogwela amekabidhi pikipiki 12 kwa Maafisa Tarafa wa Tarafa 12 Mkoani Mtwara.
Pikipiki hizo zimetolewa na Rais wa ...
Posted on: April 27th, 2020
Mheshimiwa Mmanda akila kiapo cha kuwa Mkuu wa Wilaya ya Mtwara mbele ya aliyekuwa Mkuu wa Mkoa huo Mhe. Halima Dendego (hayupo Pichani), Januari 2017.
Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Mhe. G...
Posted on: April 17th, 2020
Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Mheshimiwa Gelasius Byakanwa ametoa wito kwa Taasisi, Mashirika na watu binafsi wenye uwezo wa kutengeneza barakoa (Mask) watengeneze kwa wingi. Wito huo ameutoa leo April...