• Wasiliana Nasi |
    • Maswali yaulizwayo mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Mtwara Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Mtwara

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
    • Idara
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Mipango na Uratibu
      • Rasilimali watu
      • Elimu
      • Miundo Mbinu
      • Maji
    • Kitengo
      • Huduma za Kisheria
      • TEHAMA
      • Ukaguzi wa ndani
      • Manunuzi
      • Fedha na `Uhasibu
  • Wilaya
    • Mtwara
    • Newala
    • Tandahimba
    • Masasi
    • Nanyumbu
  • Halmashauri
    • MtwaraMC
    • MtwaraDC
    • Tandahimba
    • NewalaDC
    • MasasiDC
    • MasasiTC
    • NanyumbuDC
    • Newalatc
    • NanyambaTC
  • Uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Afya
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Utaratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
    • Profile za Watumishi
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Tukio
  • Ijuwe Mtwara

Video

  • Waziri Kangi awataja watakaopata TAABU SANA

    July 19th, 2018

    “Bado naendelea kusisitiza vyombo ninavyovisimimia vya Ulinzi na Usalama waendelee kufanya shughuli zao katika maeneo (Mtwara)  Kwa sababu tunajua kuna watu ambao tunawatafuta, wamefanya uhalifu katika maeneo yetu, wamekimbilia Msumbiji. Sasa wasije wakatumia fursa hii ya kurudi  huku ndani. Lazima tukabe maeneo haya.

    Hakuna penati itakayopigwa bila kukabwa. Na anayesimamia chombo chochote kilichoko chini yangu. Ikitokea hawa ambao wanataka kutumia mwanya wa kurudi na baadaye ikabainika ni wahalifu na hawakuwachuja vizuri, basi huyo anayesimamia chombo hicho  atapata TAABU SANA. Atapata msukosuko. Iwe ni Jeshi la Polisi. Iwe ni Magereza. Iwe ni Uhamiaji, Zimamoto, Vitambulisho. Watapata TAABU SANA”.

    WAZIRI WA MAMBO YA NDANI YA NCHI, MHE. KANGI LUGOLA. Julai 18. 2018. Mjini Mtwara.

  • Wakulima Mtwara waridhishwa na usimamizi wa korosho.

    July 12th, 2018

    Mafanikio makubwa katika uzalishaji wa zao la Korosho yaliyopatikana katika kipindi cha awamu ya tano mkoani Mtwara yamewagusa wananchi na sasa wanamtaka Rais Magufuli aendelee kuongoza nchi kwa miaka 30.


    Wakulima hao wanadai awam zote za uongozi zlizopita zimefanya mengi mazuri lakini wakulima walikuwa hawajapewa nafasi ya kunufaika na kilimo kama ilivyo sasa.

  • Bei ya saruji Dangote kushuka. Ajira kuongezeka

    July 9th, 2018

    Bei ya saruji inatarajia kushuka. ajira kuongezeka mara baada ya kumalizika kwa ujenzi wa miundombinu ya kuingiza umeme wa gesi asilia katika kiwanda hicho

  • ← Prev
  • 1
  • 2
  • 3
  • 4
  • 5
  • 6
  • 7
  • 8
  • 9
  • 10
  • 11
  • 12
  • 13
  • 14
  • 15
  • 16
  • 17
  • 18
  • Next →

Matangazo

  • No records found
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA WAANZA MKOANI MTWARA

    January 28, 2025
  • KAMATI ZA USALAMA MTWARA ZAPEWA SOMO LA URAIA NA UTAWALA BORA

    January 27, 2025
  • KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA YA MAMA SAMIA YAZINDULIWA MKOA WA MTWARA; HUDUMA KUTOLEWA BURE

    January 24, 2025
  • CHUO CHA TAIFA CHA ULINZI NA MAFANIKIO YA ZIARA YAO MKOANI MTWARA

    January 18, 2025
  • Tazama Zote

Video

"MIRADI YA GESI KUNUFAISHA WAKAZI" MHE. DKT. DOTO BITEKO
Video zaidi

Kurasa za Karibu

Kurasa Mashuhuri

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Eneo kwa Ramani

Wasiliana Nasi

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali yaulizwayo mara kwa mara
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Mtwara. Haki zote zimehifadhiwa.