• Wasiliana Nasi |
    • Maswali yaulizwayo mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Mtwara Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Mtwara

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
    • Idara
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Mipango na Uratibu
      • Rasilimali watu
      • Elimu
      • Miundo Mbinu
      • Maji
    • Kitengo
      • Huduma za Kisheria
      • TEHAMA
      • Ukaguzi wa ndani
      • Manunuzi
      • Fedha na `Uhasibu
  • Wilaya
    • Mtwara
    • Newala
    • Tandahimba
    • Masasi
    • Nanyumbu
  • Halmashauri
    • MtwaraMC
    • MtwaraDC
    • Tandahimba
    • NewalaDC
    • MasasiDC
    • MasasiTC
    • NanyumbuDC
    • Newalatc
    • NanyambaTC
  • Uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Afya
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Utaratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
    • Profile za Watumishi
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Tukio
  • Ijuwe Mtwara

Video

  • Waziri Mkuu awasimamisha Maafisa Masasi TC

    March 10th, 2018

    Mheshimiwa Waziri Mkuu amewaagiza TAKUKURU kufanya uchunguzi juu ya matumizi ya hizo fedha za ujenzi wa jengo la Ofisi za halmashauri hiyo

  • Manispaa Yafikia asilimia 93 ujenzi wa Kituo cha Afya Likombe

    January 4th, 2018

    Ujenzi wa miundombinuya Kituo cha Afya Likombe umefikia asilimia 93 ukiwa umegharimu milioni 326,457,759.18.Kati ya milioni 500 zilizotolewa na serikali kuu kwa kazi hiyo.

    Asilimia 7iliyobaki inatarajia kukamilika baada ya wiki mbili kuanzia Januari 1, mwakahuu. Hadi kukamilika mradi huo Manispaa imekadiria kutumia milioni 400 nakubakiwa na shilingi milioni 100.

  • Byakanwa Afunga mwaka kwa mikakati ya mabadiliko

    December 29th, 2017

    Mkuu Wa Mkoa wa Mtwara Mheshimiwa Gelasius Byakanwa amefunga mwaka 2017 kwa kupokea mikakati ya utendaji kazi toka kwa wakuu wa Idara na vitengo wa Ofisi Yake. Katika Kikao hicho kilichoafanyika leo Ofisi kwake Mheshimiwa Byakanwa amepokea taarifa za mafanikio na mikakati ya mwaka unaofuata kwa kila Mkuu wa Seksheni na Kitengo na kuwataka kuacha kufanya kazi kwa mazoea.

    Mheshimiwa Byakanwa ambaye alichaguliwa kuwa Mkuu wa Mkoa huu hivi karibuni amesema anahitaji kuona Ofisi yake inakuwa na umoja na wote wanafanya kazi kwa ushirikiano.

    Awali wakiwasilisha taarifa hizo wakuu wa Idara wameahidi kufanya kazi katika miongozo na maagizo anayoyatoa kama kiongozi wao Mkuu. Aidha wamesema ziko changamoto nyinig lakini zote zina majibu yake ambayo yanawapa matumaini ya kuleta mabadiliko katika idara.

  • ← Prev
  • 1
  • 2
  • 3
  • 4
  • 5
  • 6
  • 7
  • 8
  • 9
  • 10
  • 11
  • 12
  • 13
  • 14
  • 15
  • 16
  • 17
  • 18
  • Next →

Matangazo

  • No records found
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • RAIS SAMIA KUPITIA KWA RC SAWALA AGUSA MIOYO YA WAHITAJI MTWARA

    December 31, 2024
  • RC SAWALA AKUTANA NA JUMUIYA YA MARIDHIANO NA AMANI (JAMAT) NA VIONGOZI WA DINI MTWARA

    December 31, 2024
  • MKOA WA MTWARA WAZINDUA MSIMU WA KILIMO 2024/2025

    December 30, 2024
  • SHAGWE ZA MSANGAMKUU FESTIVAL ZAANZA RASMI MTWARA

    December 28, 2024
  • Tazama Zote

Video

"MIRADI YA GESI KUNUFAISHA WAKAZI" MHE. DKT. DOTO BITEKO
Video zaidi

Kurasa za Karibu

Kurasa Mashuhuri

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Eneo kwa Ramani

Wasiliana Nasi

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali yaulizwayo mara kwa mara
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Mtwara. Haki zote zimehifadhiwa.