• Wasiliana Nasi |
    • Maswali yaulizwayo mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Mtwara Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Mtwara

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
    • Idara
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Mipango na Uratibu
      • Rasilimali watu
      • Elimu
      • Miundo Mbinu
      • Maji
    • Kitengo
      • Huduma za Kisheria
      • TEHAMA
      • Ukaguzi wa ndani
      • Manunuzi
      • Fedha na `Uhasibu
  • Wilaya
    • Mtwara
    • Newala
    • Tandahimba
    • Masasi
    • Nanyumbu
  • Halmashauri
    • MtwaraMC
    • MtwaraDC
    • Tandahimba
    • NewalaDC
    • MasasiDC
    • MasasiTC
    • NanyumbuDC
    • Newalatc
    • NanyambaTC
  • Uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Afya
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Utaratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
    • Profile za Watumishi
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Tukio
  • Ijuwe Mtwara

Video

  • Uzinduzi meli ya biashaara kati ya Mtwara na Moroni Comoro

    August 20th, 2017

    Uzinduzi wa meli ya biashara kati ya Mtwara Tanzania na Moroni, Comoro Agost 18, 2017 mjini Mtwara.

  • RC Mtwara aagiza kusimamishwa Mkuu wa Idara ya Ardhi Mtwara DC

    August 14th, 2017

    Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Mhe. Halima Dendego amemuagiza Mkurugenzi wa Halmshauri ya Wilaya ya Mtwara Omari Kipanga kumsimaisha kazi Mkuu wa Idara ya Ardhi Katika halmshauri hiyo, Denis Kitali kutokana na kukiuka makubaliano ya idara ya ardhi na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa juu ya namna bora ya uendelezaji wa eneo la viwanjwa Msijute kilipo kiwanda cha Saruji cha Dangote.

    Akitangaza uamuzi huo katika kikao cha Baraza Maalum la Madiwani la kujibu hoja za Mkaguzi Mkuu wa Fedha za Serikali (CAG), mkuu huyo amesema licha ya kusimamishwa kazi, hatua nyingine za kisheria zitafuata dhidi yake.

    Mheshimiwa Dendego amesema mpango wa kupima eneo hilo kwa ajili ya viwanda ulifikiwa kwa makubaliano kati ya Ofisi yake na Halmshauri hiyo ambapo mkuu huyo alishiriki kikamilifu tangu mwanzo.

    Amesema kilichomshangaza ni Mkuu huyo kuwaeleza madiwani kuwa vipo viwanja 380 ambavyo Halmashauri inampango wa kuviuza ili kuongeza mapato ya halmashauri. Amesema hilo ni suala lisilokubalika na amekuwa akiwasiliana naye kwa maneno na kwa maandishi zaidi ya mara tano akimuelekeza juu ya mpango mzuri wa uendelezaji wa eneo hilo.

    Aidha, Mhe. Dendego ameendelea kusisitiza kuwa kama yupo kiongozi yeyote aliyekwisha chukua fedha azirudishe kwani msimamo wake ni huo huo na hautabadilika. Amesema lengo lake ni kuwa na mji wa kisasa wa Mtwara. wenye viwanda vinavyokwenda na mahitaji ya kisasa.

    Nao baadhi ya madiwani wa halmashauri hiyo, akiwamo Maupa Abdul na Ramadhan Mfaume wameelekeza lawama zao kwa idara ya ardhi ya halmashauri hiyo kwa kutotimiza wajibu wao kikamilifu

  • KKKT wampa tuzo ya Mwanamke Jasiri. RC Mtwara

    August 13th, 2017

    Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheli Tanzania Dayosisi ya Kusini Mashariki Usharika wa Kanisa Kuu Mtwara, Lukas Mbedule amemtunuku Tuzo ya Mwanamke Jasiri Mkuu wa MKOA wa Mtwara. Mhe. Halima Dendego ikiwa ni kutambua ushupavu wake katika mapambano makubwa anayoyaendesha mkoani Mtwara kutetea rasilimali za mkoa huu kwa manufaa ya jamii nzima.

    Akizungumza wakati wa kumkabidhi tuzo hiyo, Askofu Mbedule  amesema vipo vielelezo vya mambo mengi makubwa aliyoyafanya Mhe. Dendego ambayo ni kielelezo cha ujasiri wake katika kusimamia haki.

    Amesema yeye mwenyewe amekuwa mfuatiliaji wa karibu wa kazi za Mheshimiwa Mkuu wa Mkoa tangu akiwa Mkuu wa Wilaya ya Tanga kabla ya kuhamishiwa hapa Mtwara miaka mitatu iliyopita.

    Akizungumzia hati aliyoitoa Askofu Mbedule amesema hati hiyo inatambulika kama HATI YA ASKOFU YA HESHIMA YA JUU ambayo hutolewa Mara chache, kwa watu wachache hasa baada kujiridhisha na utendaji uliotukuka kwa mhusika.

  • ← Prev
  • 1
  • 2
  • 3
  • 4
  • 5
  • 6
  • 7
  • 8
  • 9
  • 10
  • 11
  • 12
  • 13
  • 14
  • 15
  • 16
  • 17
  • 18
  • Next →

Matangazo

  • No records found
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • MIAKA 63 YA TANZANIA BARA, USHIRIKIANO NI MAENDELEO

    December 09, 2024
  • MTWARA KABLA NA BAADA YA MIAKA 63 YA UHURU

    December 09, 2024
  • WAPENI USHIRIKIANO WAWEKEZAJI KUKUZA UCHUMI: KANALI SAWALA

    December 29, 2024
  • “PIGENI KURA KWA AMANI” KANALI PATRICK SAWALA

    November 27, 2024
  • Tazama Zote

Video

"MIRADI YA GESI KUNUFAISHA WAKAZI" MHE. DKT. DOTO BITEKO
Video zaidi

Kurasa za Karibu

Kurasa Mashuhuri

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Eneo kwa Ramani

Wasiliana Nasi

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali yaulizwayo mara kwa mara
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Mtwara. Haki zote zimehifadhiwa.