Bei ya saruji inatarajia kushuka. ajira kuongezeka mara baada ya kumalizika kwa ujenzi wa miundombinu ya kuingiza umeme wa gesi asilia katika kiwanda hicho
Mkuu wa mkoa atembela shule zilizokonga mitandao kwa kusomea chini ya mikorosho. ujenzi wake kukamilika sasa
Umaarufu wa mkoa wa Mtwara katika kula chakula aina ya panya ni fursa mojawapoa ya kuvutia utalii mkoani hapa. Akizungumza katika kipindi cha safiri nasi kilichokuwa kikirushwa moja kwa moja kutoka Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Mtwara Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Mheshimiwa Gelasius Byakanwa amesema hilo ni mojawapo ya malengo yake kuhakikisha fursa mbalimbali za mkoa wa Mtwara ikiwemo ulaji wa panya unatumika kama kivutio cha utalii.aidha yeye mwenyewe atakuwa wa kwanza kushiriki chakula hicho kinachotajwa kuwa kitamu zaidi.
Haki Miliki © 2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Mtwara. Haki zote zimehifadhiwa.