Wednesday 18th, December 2024
@UWANJA WA MASHUJAA
Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Kanali Patrick Kenan Sawala atakuta na wafanya biashara na Wananchi Wote kufanya nao Mazungumzo katika Viwanja vya Mashujaa kuanzia Saa mbili kamili Asubuhi Siku ya JumatatuTarehe15Julai 2024.
Upatapo taarifa hii tafadhali Mjuze na Jirani yako.
Tukutane Uwanja wa Mashujaa tar 15 Mwezi huu 2024.
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Mtwara
Anuani ya Posta: 544, MTWARA
Simu: +255 23 2333014
Mobile: +255 23 2333014
Barua Pepe: ras@mtwara.go.tz
Haki Miliki © 2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Mtwara. Haki zote zimehifadhiwa.