Wednesday 18th, December 2024
@SHULE YA SEKONDARI MTWARA UFUNDI
MKUU WA MKOA WA MTWARA KANALI PATRICK KENAN SAWALA ANAWAALIKA WANAMTWARA WOTE KUUDHULIA KWENYE UZINDUZI WA PROGRAMU YA IMARISHA UCHUMI NA MAMA SAMIA (IMASA) ITAKAYOFANYIKIA KATIKA UKUMBI WA SHULE YA SEKONDARI MTWARA UFUNDI JUMANNE TAREHE 25 MWEZI JUNI 2024, NI KUANZIA MIDA YA SAA TANO KAMILI ASUBUHI.
TAFADHALI MJUZE NA JIRANI YAKO. NI FURSA PEKEE KUWAI KUTOKEA.
USIPANGE KUKOSA
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Mtwara
Anuani ya Posta: 544, MTWARA
Simu: +255 23 2333014
Mobile: +255 23 2333014
Barua Pepe: ras@mtwara.go.tz
Haki Miliki © 2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Mtwara. Haki zote zimehifadhiwa.